"East Africa Summer nite!"
Ile 'party' inayosubiriwa kwa hamu na
East African waishio Houston Tx
is around Tha corner,
bila kusahau Mr. East African In H-town(handsome) atatafutwa siku hiyo, na pia 'couple'ambayo itapendeza zaidi watajipatia zawadi nono (surprise)
Date: 25th July
Venue: Brenda hall
3720 Westpark n' Gesner
(Behind Valero gas station)
Time: 9pm til dawn
Cover: $ 10 Gents,
$5 Ladies
($ 3 u call it a drink!)
tha hottest dj in town dj kaycee gon make it happen!
Pia kwa wale ma'handsome' ambao wangependa Kushiriki katika
'Mr E.A Houston'
wanaombwa Ku'register'
through 281 236 5204
( dj kaycee)
mwano niliwalaumu sana wale walio wapelaka kwenye warehouse, sasa kiingilio dola kumi utaiingia pary gani ya nguvu? hapa bongo sisi kiingilio kwenye party ya nguvu ni mpaka tshs 50000/= kwa kichwa na bado hata red carpet hupati. Leo dola kumi unataka upate msosi na red carpet? Kweli hawakufnaya makosa kuwapeleka warehouse.
ReplyDelete