Home
Unlabelled
kida waziri na nana njige
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ah michuzi, kwani huwaoni kina luiza mbutu, jessica, na wengineo? au labda wenyewe sio wakina mama!!!??
ReplyDeletejamani kida namumbuka enzi hizo akiwa na Tanzanite wakipiga Kilimanjaro Hotel, Simba Grill
ReplyDeleteSamahani Michuzi, huyo ni Nana au Rahma Shali?
ReplyDeleteDah umenikumbusha mabli sabna Bro Michu! Namkumbuka Nana Njige kabla hajaamia Vijana alitamba sana na Super rain Bow ya Mwanayamala kabla yeye na akina Eddy Sheggy kuhamia Vijana Jazz. Alikuwa na sauti tamu sana mwana mama huyu!
ReplyDeleteKida nae alitamba sana na wakina Hemedy Maneti na kibao kama ""Wifi zangu mna mambo"" ah zamani ilikuwa raha sana!! Nakumbuka enzi za kuruka ukuta pale vijana ukikamatwa unaosha vyoo! hahahahha
Michuzi nataka kujua pia Betty Enock Titi Shangarai wako wapi?
ReplyDelete"Penzi haligawanyiki"
ReplyDelete