kama nilivyotangaza juma hili mwanzoni ni kwamba kuanzia leo jumatano majira ya saa sita usiku kwa saa za bongo, anuani ya globu hii ya jamii itakuwa www.michuzi-blog.com na sio issamichuzi.blogspot.com tena.
naomba nifafanue hapa kwamba kinachobadilika ni anuani tu kwani globu itabaki na muonekano wake uleule, sema itaongezwa libeneke kwa kuwa na mapicha, habari pamoja na video kedekede tofauti na ilivyo sasa.
sababu za kuhamia www.michuzi-blog.com ni kwamba huduma ya blogger haikutosheleza kutokana na kuwa na nafasi ama space finyu kwa kuwa ni ya dezo. hivi sasa space ni ya kulipia ambapo itakuwa kubwa zaidi kama libeneke litakavyokuwa.
kwa heshima na unyenyekevu naomba niseme tena; kinachobadilika ni anuani tu toka hii ya siku zote ya issamichuzi.blogspot.com kwenda www.michuzi-blog.com na libeneke litakuwa ni lile lile na sio kubadilika kwa globu kama wengine walivyoelewa.
pia msisahau kutembelea na hata kuchangia video zenu katika wavuti dada ya globu hii ya jamii inayoanza rasmi leo:
asanteni sana wadau
nawapenda wote
MICHUZI


Nipo Cardiff, Ukerewe na ni saa Nane Kasoro Robo usiku na nyumbani ni saa Kumi Kasoro Robo Alfajiri na nilitegemea kuukuta link mpya ikiwa inafanya kazi kama ulivyosema......lakini bado ujumbe wa kwamba "Iko kwenye ujenzi, tembelea baadae" umetawala.
ReplyDeleteVipi Mzee MITHUPU mbona hivyooooooo?
MLIOSOMA NA KUBOBEA KATIKA IT YANI TEKNOHAMA NISAIDIENI
ReplyDeleteHivi kwani lazima site ya video iitwe tyubu? Youtube,eastafricantube,bongotyube etc? Napenda kujua. Pia Michuzi heri ukabadili hiyo BONGOTYUBE kuwa bongoTUBE. Hako ka 'Y' umekaweka ukidhani kanaleta ladha ya kiswahili kitasababisha asilimia kubwa kutoitype correctly. Tupende kupokea maoni toka wataalamu na sio maoni toka watu. Tyube ni heri tyubu kuweka kiswahili. Aminia na endeleza Mbeneke!
ok.
ReplyDeleteBREAKING NEWS,MANDELA KAONDOLEWA KWENYE LIST YA WATU MAGAID DUNIAN,
ReplyDeleteWADAU MNASEMAJE.
CHA AJABU BILL CLINTON ALIENDA KWENYE BIRTHDAY YAKE UKU AKIWA ANAMTAMBUA KAMA MTU GAID
wewe anon 9:09 king punguani wa mapunguani...sasa nelson mandela ana ugaidi gani?unajua maana ya ugaidi?its terrorist..so your calling mandela a terrorrist?are you insane?
ReplyDelete