nakaaya sumary akifanya vitu vyake ngome kongwe usiku kuamkia leo katika tamasha la ziff, akipewa taff na kundi la tht. kulia ni maunda zahir ally zorro, mdogo wa banana zorro anayekuja juu kimuziki kama kaka yake na baba




Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. WIMBO ULIOBORA. MAPOZI YAKE NI KILELE( CLIMX)DERIVATIVU (HAMASISHO)

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2008

    hongera sana naakaya unakuja juu kwa kasi.
    sweet,
    Arusha.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2008

    Bado ana matatizo ya vokale inabidi afanyie kazi sana tatizo hilo. Sauti ni nzuri lakini bado kuna mapungufu makubwa kimuziki.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 15, 2008

    nakubaliana na wewe kabisa anony wa 2.48 pm. vokale bado kabisa anahitaji apate mwalimu wa muziki ampige msasa. Kwa lugha rahisi sauti yake ni nzuri ila iko moja kwa moja haishuki wala haipandi...anahitaji kulifanyia kazi hilo na mengine mengi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...