Kaka Michuzi Pole kwa kazi,
naomba msaada nina tatizwa na hili swala.NIMESIKIA MARA KWA MARA TANGU SIKU NYINGI KUHUSU SWALA LA MBUNGE FULANI AKIWA BUNGENI KUTISHIA KUONDOA SHILINGI KWENYE BAJETI YA WIZARA FULANI.Hivi kutoa shilingi maana yake nini hasa? Naomba mnisaidie.
Kazi njema
Mdau
Ontario
Canada


Kutoa shilingi maana yake ni mbunge huyo atapinga bajeti ya wizara ya serikali kwa kuwa hajaridhika na sababu aliyetoa waziri mkuu au waziri wa wizara hio za kutaka pesa kwa ajili ya matumizi ya mwakani. Mara nyingi hii ni porojo tuu bungeni, bado hajaonekana mbunge yoyote anayeweza kupinga bajeti ya CCM. Huo wanawekwa pembeni baada ya kutoa shilingi na kupewa kisomo na waziri hata raisi na kulainishwa awe CCM au Mpinzani. Welcome to Siasa 101 Bongo style Ontario boy.
ReplyDeleteNYONGEZA KWA MDAU HAPO JUU:
ReplyDeleteLET'S SAY BAJETI YA WIZARA NI SH. 800 MILLION.....MBUNGE AKITOA SH.1....INAMAANA BAJETI SIO TENA SH.800.(SH.800-SH.1=SHILINGI 799).KWA HIYO BAJETI YA WIZARA HAIKUIDHINISHWA KWA KIASI WANACHOHITAJI.
lugha za mitahani au uswahilini(sland) zikatazwe bungeni bwana.huu ni ushamba ulioje.wenzetu hutawasikia wakisema wassup bungeni.huu ni utumwa
ReplyDelete