Kaka Michuzi Pole kwa kazi,
naomba msaada nina tatizwa na hili swala.NIMESIKIA MARA KWA MARA TANGU SIKU NYINGI KUHUSU SWALA LA MBUNGE FULANI AKIWA BUNGENI KUTISHIA KUONDOA SHILINGI KWENYE BAJETI YA WIZARA FULANI.Hivi kutoa shilingi maana yake nini hasa? Naomba mnisaidie.
Kazi njema
Mdau
Ontario
Canada

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 04, 2008

    Kutoa shilingi maana yake ni mbunge huyo atapinga bajeti ya wizara ya serikali kwa kuwa hajaridhika na sababu aliyetoa waziri mkuu au waziri wa wizara hio za kutaka pesa kwa ajili ya matumizi ya mwakani. Mara nyingi hii ni porojo tuu bungeni, bado hajaonekana mbunge yoyote anayeweza kupinga bajeti ya CCM. Huo wanawekwa pembeni baada ya kutoa shilingi na kupewa kisomo na waziri hata raisi na kulainishwa awe CCM au Mpinzani. Welcome to Siasa 101 Bongo style Ontario boy.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 04, 2008

    NYONGEZA KWA MDAU HAPO JUU:
    LET'S SAY BAJETI YA WIZARA NI SH. 800 MILLION.....MBUNGE AKITOA SH.1....INAMAANA BAJETI SIO TENA SH.800.(SH.800-SH.1=SHILINGI 799).KWA HIYO BAJETI YA WIZARA HAIKUIDHINISHWA KWA KIASI WANACHOHITAJI.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 05, 2008

    lugha za mitahani au uswahilini(sland) zikatazwe bungeni bwana.huu ni ushamba ulioje.wenzetu hutawasikia wakisema wassup bungeni.huu ni utumwa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...