Home
Unlabelled
mtibwasugar.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
JAMANI HII NI MTIBWA AU TAIFA STARS?
ReplyDeleteHilo kidogo la kushangaza jamani, lakini nisaidieni...sasa hao jamaa wa sarafu hiyo ya mbele mbona wamejipinda na hao nyuma wamesimama... mila na desturi za jamii nyingi pote ulimwenguni zinatafsiri huo upindo wa viuno kumaanisha mambo ya 'sodomu na gomara',enzi zetu wakati huo wa miaka ya sabini timu zetu wakati zikipigwa picha basi madume ya mbele yalikuwa na chuchuma na wanaosimama nyuma mikono imepinda kifuani...huo ulionyesha ubabe...lakini siku hizo...ah jamani Mungu atusaidie!!!
ReplyDeletewe mpuuzi,si umeambiwa mtibwa!
ReplyDeleteMichuzi hii ni picha ya kikosi cha Kilimanjaro Stars kilichoshiriki kombe la Chalenji Disemba 2007. Licha ya kuwa wamevaa jezi ya Taifa/Kilimanjaro, naweza kukupa kwa haraka haraka wachezaji wachache waio wa Mtibwa.
ReplyDeleteMwenye utepe wa nahodha ni mshambuliaji Dan Mrwanda (Simba). Akifuatiwa na mlinzi wa kushoto, Amir Maftah (Yanga). Golikipa ni Ali Mustafa (Simba). Anayefuatia ni Uhuru Suleiman (Wagosi wa kaya - Coastal).