msanii nyota ndogo toka mombasa kwa watani wetu wa jadi akifanya makubwa ngome kongwe katika tamasha la filamu la kimataifa la ziff, akishirikiana na kundi la tht (tanzania house of talent) ambao walikwenda nae sambamba kwa vibao vyake vyote ikiwa ni pamoja na 'watu na viatu' na 'nibebe nikuoneshe penzi' ambavyo vilikonga nyoyo kwa sana tu


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. HA SIO MCHEZO SASA YEYE NI JOTA KUBWA SIO NDOGO TENA. IT IS AS CONJUGATION (MNYUMBULISHO) OF{WA} NYOKA TO{KUWA} JOKA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...