habari toka mji mkuu wa zambia, lusaka, zinasema kwamba rais wa nchi hiyo mh. levy mwanawasa hajadedi na bado anadundwa na anaendelea vizuri kwa matibabu kwenye hospitali moja ya kijeshi huko paris, ufaransa.
uvumi huo ulioanzishwa na redio moja mbao huko sauzi na kudakwa na vyombo kibao vya magharibi zimekanushwa vikali na serikali ya nchi hiyo ambayo imesema umbea huo sio wa kweli.
mie inglishi iz noti richebo, vinginevyo ningewatafsiria stori nzima kama ilivyo. kwa hiyo anayetaka kujua zaidi na kama kinanihii kinapanda bofya hapa


TOT band ya Zambia inafanya mazoezi kwa kasi (KUJIANDAA KWA MAOMBOLEZO) muda huu pia Ikulu,Barabara,Vichaa na ghasia zote katika mji wa Lusaka haswa maeneo ya Kabwata,Cairo Road,Mutendere bila ya kusahau Burma Road zinasafishwa...
ReplyDeleteInanikumbusha mwaka ule wa(1999)
Mpenda Keroro...
It is a relief to have him alive. I wish President Levy Patrick Mwanawasa a quick recovery. May the Zambian President get well soon.
ReplyDeleteAm remained with one question. How can one publish such a shocking news publicly without confirmation? Very sad.Some people have no morals completely.
i know people may find me weird or intimidating but i HATE this behaviour of people kuzusharing rumours.why did people say hes dead in the first place without confirming the news!?
ReplyDelete