mzee wa busara dj yusuf akiwa na bosi wa mauzo na masoko wa vodacom ephraim mafuru usiku huu kwenye siku ya tatu ya tamasha la ziff (zanzibar international film festival) linalofanyika ngome kongwe hapa zenj
nikiwa na wadau wa east africa tv na wa ziff usiku huu ngome kongwe
afisa mwendeshasji mkuu wa ziff dk. martin mhando yuko bize kupokea wageni na kupanga mikakati kufanikisha tamasha la mwaka huu. juu akiwa na familia ya mdau ryhmson wa wapi pamoja na wadau wa ziff. chini nikiwa naye dk. mhando na selebriti wa sophia records, mdau claude ambaye siku hizi pamoja na kucheza filamu pia anapiga picha na kuprodyuzi



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2008

    mzee mwenyewe, naona sasa wakati wa kukuchangia ununue t-shirt umefika, hii ni too much sasa. kauka nikuvae nini?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2008

    da jamani huyu dada wa EATV nampendaga hasa akifanya mahojiano yaani kama wale brick & Lace walivyokuja alifanya bonge la interview big up Linda. kama sikosei ndio jina lake, nakufagilia kinoma.

    misupu usibane manake na wewe kwa wivu

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2008

    hee kaka michuzi hiki kafula chako kimeshajijuja wenyewe kimekwabuka nunua nyengine kama hio narangi hiohio.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2008

    huyo mwenye T-shirt nyeusi ni Jibai?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 15, 2008

    Big up! Martin, great job! all the best

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...