hii ndio aina ya udereva wa vyombo mbalimbali vya usafiri dar. hapo magari na injini viuno vyote viko katika mwendo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 07, 2008

    Its high time that politicians and people in high positions take communication means abit more seriously. Investing in traffic rules and regulations, traffic and road systems, recognised driving schools could bring the end of road accident roads.
    More than 20% of our population perish in traffic accidents and there are no strategies in place to lessen the number.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 07, 2008

    Hapo ni kwamba mwenye DCM anaingia mwenye Isuzu journey kisha piga pini si wataanza kutukanana,basi mwenye guta anatanua kulia fasta anawahi zake ndio mambo ya mjini hao,harafu tunasema eti kuna viongozi..Tanzania bwana kweli nakupenda kwa moyo wote!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...