Wapendwa wanachama wa CCM Tawi la Muhimbili mnataarifiwa kuwa kutakuwa na uzinduzi rasmi wa tawi letu siku ya Jumamosi Tarehe 5 Julai 2008
katika Kiwanja cha Ofisi ya Kata ya Upanga Magharibi (Nyuma ya Kituo
cha mabasi ya kwenda mjini cha Fire),Barabara ya Morogoro.
katika Kiwanja cha Ofisi ya Kata ya Upanga Magharibi (Nyuma ya Kituo
cha mabasi ya kwenda mjini cha Fire),Barabara ya Morogoro.
Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mh. Pius Msekwa,Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Muda: 3.30 asubuhi -6.00 mchana
Wageni wote wanatakiwa wawe wameketi ifikapo saa 3.30 asb
Wote mnakaribishwa!
Kidumu Chama Cha Mapinduzi!
Dkt. Moses Ringo
Katibu wa CCM Tawi la Muhimbili
+255-713-550032


KIDUMU.
ReplyDeletenapenda kurekebisha kidongo tu ktk
ReplyDeleteusemi kidumu cha mapinduzi!!
mbona mnamsahau mwanzilishi wa chama hicho?? mimi nafikili ingempendeza kama ukisema
kidumu chama cha mapinduzi,zidumu fikra za mwenyekiti wa chama
ambazo ni zakukemea ufisadi au mnaonaje??
Mradi msiitumie Gia hiyo kuchangisha Wafanyabiashara wa maeneo hayo kama mlivyozoea!Na kisha mtakatokomea mnakokujua!Tumewastukia sana!Toka mwaka 1977 eneo hilo halikuwa na Tawi la CCM? Maajbu ya Farasi kulia mlio wa Punda!
ReplyDeleteJambo jingine tukumbushane Makada nisije nikasahau unajua Utu Uzima tena Matatiiiizo!Baada ya uzinduzi wa Tawi letu sote kwa mshikamano tukagawe kadi za uanachama wa CCM katika Wodi zote za Muhimbili tukianzia na wodi ya Kibasila!Sawa jamani?Kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
ReplyDelete