MREMBO DAYANA MENDOZA NDIYE ALIYENYAKUA TAJI LA MISS UNIVERSE 2008 ASUBUHI HII HUKO VIETNAM


WA TANO MEXICO

WA NNE RUSSIA

WA TATU JAMHURI YA DOMINICA

WA PILI NI COLOMBIA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. AnonymousJuly 14, 2008

    MBONA KUANZIA MSHINDI WA 5,3,2,1 WOTE WAMETOKEA AMERICA YA KUSINI PIA NI MAJIRANI.SI MCHEZO

    ReplyDelete
  2. AnonymousJuly 14, 2008

    Inaelekea warembo wenye asili ya kihispania ndo waliotia fora kwa lugha nyingine ni wazuri kuliko wa jamii nyingine mwaka huu 2008.
    1.Venezuela (SPANISH)
    2.Colombia (SPANISH)
    3.Dominica R.(SPANISH
    4.Russia
    5.Mexco (SPANISH)

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 14, 2008

    Kumbe Amerika ya Kusini sio wataalam wa kandanda tu...bali hata mambo ya ulimbwende wapo fiti...ukiondoa Russia walioingia 5 bora ni kutoka huko pamoja na mshindi pia...tuwe tunawapeleka ma miss wetu waende wakapate ujuzi kutoka kule.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 14, 2008

    Suala sio ujuzi wa ulimbwede, tukubali tusikubali wanawake wa asili ya kihispaniola wana maumbile ya mvuto wa kipekee. Sishangai kuona huo ushindi.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJuly 14, 2008

    Mwaka huu ulikua wa waspanish tu...kuna nini huko? Hebu tuwaulize siri ya urembo...Manate top 15 waspanish walikua wengi tu.....Na hata sioni kwanini walimuingiza mrussia pale...

    Ila wamarekani kwa kudondoka. Mwaka jana chini mwaka huu chini...Mkono wa mtu nini...Ila hata msichana wao alikua kanyanyua vyuma sana tu ...

    ReplyDelete
  6. AnonymousJuly 14, 2008

    kweli alistahili kushinda, kwa jinsi alivyopozi hadi mchirizi wa utamu unaonekana!

    ReplyDelete
  7. maria clara my lover scarlet ortiz

    ReplyDelete
  8. AnonymousJuly 15, 2008

    Kwani huyu Amanda wetu amekuwa wa ngapi jamani? Naomba majibu hapa kwa wale wenye mapenzi mema.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJuly 15, 2008

    Ni kweli atastahiri kushida, kwani maswali yake aliyajibu kwa ufasaha sana
    Interview ya Miss Venezuela:
    What are your interests and what do you enjoy doing the most?
    Interior design, photography, advertising, and I enjoy meeting people from every country and learning languages.

    What is your career ambition?
    Interior Design and also advertising but as Oscar Wilde used to say, "To define oneself is to limit oneself".

    What is your proudest personal accomplishment?
    Being independent from the age of fifteen on, living in different countries by myself without knowing the language at the beginning and without the presence of my parents. Having succeeded in working in different cultures and learning the most from them.

    What is something unique that has happened to you; some interesting thing about you?
    I was once kidnapped, in what in my country is known as an express kidnapping. It was a very hard experience. I learned to remain calm in a very stressful situation and to try to reach to the human part of our abductors.

    What do you want the judges to know about you?
    I am grateful to life for my family and for the opportunities to grow in different places and learn the most from them. Even in the hardest of times what my family and life has taught me has helped me push through and succeed.


    Interview ya Mis Tz
    What are your interests and what do you enjoy doing the most?
    I LOVE DANCING, SINGING, INTERACTING WITH DIFFERENT PEOPLE, SHARING IDEAS, GOING OUT TRAVELING, READING AND MOST OF ALL WATCHING MOVIES.

    What is your career ambition?
    TO BECOME AN ACTRESS AND A ROLE MODEL FOR OTHER YOUNG WOMEN.

    What is your proudest personal accomplishment?
    COMPLETING MY COMPUTER ENGINEERING CERTIFICATE.

    What is something unique that has happened to you; some interesting thing about you?
    I LEARNED HOW TO BUILD A MAASAI HUT FROM COW DUNG WHEN WE WENT TO VISIT MY GRANDFATHER IN THE VILLAGE AND I HELPED TO THATCH HIS HUT, WHICH IS A FORM OF REPAIR. THIS WORK IS DONE BY MAASAI WOMEN ONLY.

    What do you want the judges to know about you?
    I WANT THEM TO KNOW HOW DIFFICULT IT IS TO RECONCILE TWO WORLDS IN ME; THE TRADITIONAL AND MODERN WORLDS. IT'S REALLY HARD TO CONVINCE MY PEOPLE THAT A MAASAI WOMAN CAN STAND OUT AND MAKE A CHANGE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...