Michuzi,
Hebu wewe na wadau chekini hii. Sijui kweli au watu wanatuchafulia CV wa TZ!!??
A machine that catches thieves was invented in the United States of America ; it was then installed in different countries for a test.
USA , in 30 minutes it caught 500 thieves,
Zimbabwe , in 20 minutes it caught 2000 thieves,
Kenya , in 10 minutes it caught 600 thieves,
Tanzania , in 5 minutes the machine was stolen!!!!!!!!!!
What's wrong with it? It is a mere joke... Relax & Take it easy bro
ReplyDeleteNi kwa sababu ya rekodi zetu za kuiba Benki Kuu kama vile EPA, Meremeta, n.k
ReplyDeleteIts a funny joke,i actually thnk there is some truth in that....Tz noma aisee
ReplyDeletePlease naomba utoe proof ya hiyo test: nani aliifanya? wapi ndani ya tz ilifanyika? lini? na pia haina maana kama wezi walikamatwa zimbabwe inamaana wazimbablwe and vice versa!!
ReplyDeleteHii hoja haina misingi ya kuaminika mpaka utoe ufafanuzi zaidi. please achana na hadithi za abunuwasi hapa...
Mpaka utakapoleta uthibitisho wa hoja ndio hoja yako inaweza kuwa na umuhimu wa mjadala. PUMBAAAAVU
G7
UK
Hahahahahahahah very funny hii inaonyesha jinsi gani wabongo tulivyo na BONGO !! clever people ....
ReplyDeleteHII SIO UONGO KWANI WATANZANIA NDIVYO TULIVYO NA HAKUNA PINGAMIZI LOLOTE KWA HILO !!!!!
ReplyDeleteHizi ni story za vijiweni baada ya kula ugali wa bure mna pass time. ACHANA NAZO.
ReplyDeleteHata hivyo angalia hata ww unaweza kuibwa
ths is just a humour, bro G7 wa ukerewe acha kupaniki mpaka unatukana watu. Cant u thnk and understand that this is a mere joke. By the way, the guy has made my day, tz pple are brainy esp in ufisadi
ReplyDeleteBig sam
Wow!!
ReplyDeleteWabongo tuko juu kinoma , kwani mtengenezaji hiyo machine mawazo yake yalikuwa on DETECTION akasahau PROTECTION.
Mimi nilipata email yenye message hiyo kutoka kwa rafiki yangu yuko Malawi lakini hapo mwisho haikuwa Tanzania ...ilikuwa South Africa
ReplyDeleteKwa hiyo unaweza kuandika nchi yeyote unavyojisikia
haha, hii imenikumbusha joke nyingine niliisikia zamani. Bush, Gorbachev na Mwinyi wako ktk small commuter place. Katikati ya safari anga zikachafuka na dira ikawa imeharibika. Kukawa hakuna njia ya kujua wapo sehemu gani. Gorbachev akaamua kutoa mkoni nje, akapigwa na baridi kali. Akajua yuko USSR. Basi akamwambia rubani ampe parachute aruke. Safari ikaendelea, Bush akaweka mkono nje naye. Akagusa paa la jengo refu. Akamwambia rubani, itakuwa tupo New York, nipe parachute niruke. Wakaendelea mbele; Mwinyi akatoa mkono nje. Saa yake ya Gold ikaibiwa. Akamwambia Rubani tupo Dar, nipe parachute niruke :-)
ReplyDelete