
Kaka Michuzi,
kwanza natanguliza shukrani kwa kuifanya blog yetu wanafunzi itembelewe na watu wengi,Pia tuliziona comments zao na kwa kweli tunazifanyia kazi.
Kuna vitu watu walitoa maoni tuvirekebishe na tumejaribu kufannya hivyo na tuna uhakika itakuwa bora zaidi.
na wataona hayo maboresho waliyotolea maoni.
Tunakushukuru kwa kazi yako nzuri na tunaamini unaendelea vizuri huko Dodoma na asante kwa kuendelea kutupa habari ya mambo mbalimbali yanayotokea huko.
Asante kwa wadau wote wa blog hii ya jamii ambao wanaendelea kutoa maoni jinsi ya kuiboresha blog ya wanafunzi waliopo vyuoni na waliomaliza!
Asante sana brother Michuzi.
Mdau William Jackson
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...