Home
Unlabelled
habari ndiyo hiyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haha, nice. Kweli bwana, if a*b=ab then 7*7 should equal 77... no?
ReplyDeleteHuyu jamaa kakosea 7x7 sio 77
ReplyDeleteila 7+7 ndio 77.
Mdau wa kwanza na wa pili woote wamepatia ukizingatia woote wanatumia kanuni saafi tu za kihesabu.
ReplyDeleteNakumbuka nilifanya hivi hesabu nilivyokuwa la kwanza na naona nilikuwa saafi tuu kwani nilielewa fomula. Elimu ilivozidi kuongezeka nikageuza lakini fomula hiyo ni sahihi kabisa.
Pia hata katika hesabu za kweli inaweza kukubalika ukizingatia base za kushoto na kulia.
Mimi nilivyofundishwa pale shule ya Msingi Mtakuja ni kwamba 7 X 7 = 7777777. Sina shaka hilo ndilo jibu sahihi
ReplyDeleteFunny
ReplyDeletehaha, nimeipenda ya jamaa wa mtakuja pia. Cause 7*7 means you have seven 7's. Thus the answer is 7777777 (seven 7's). Haha
ReplyDelete