ndani ya nyumba ya Big Brother III
Huyu ndiye mwakilishi wetu huko Sauzi katika shindano la Big Brother Africa III. Jina lake anaitwa Latoya.Ana miaka 21.Ni Katibu Muhtasi.Ukitaka kuwaona washiriki wenzake tembelea http://www.bongocelebrity.com/


Twelve new housemates will begin an incredible 91 day adventure as M-Net’s blockbuster hit reality TV series BIG BROTHER AFRICA returns to DStv screens continent-wide today Sunday August 24 at 19:00 CAT!


With USD 100 000 up for grabs once again, live 24/7 coverage and a brand new house ready to open its doors, season 3 is set to mirror the runaway success of the first two seasons.


The the show went live on air to over 40 African countries, with M-Kabelo “KB” Ngakane returning as series presenter in a role he reprises from last season.


The much-loved Channel O VJ and radio DJ, whose recently released single How Low Can You Go has seen him make the leap from TV personality to performer, will continue to be the primary link between the housemates and series fans.


In addition, M-Net has offered fans of the show a sneak peek at the all new Big Brother house, which underwent a total transformation in preparation for day one.


Comprising two bedrooms, one bathroom, a large lounge, an open plan dining area, a kitchen, diary room and a garden, complete with a striking new pool, it’s in the décor that the house marks it’s most dramatic differences.


Colorful, bold and with a style that can only be described as an eclectic mix of energetic, youthful and fairytale, the BIG BROTHER AFRICA house is a character all on its own!Living up to the new series tagline of Wild, Wicked and Wacky, the house includes unique features such as a “clock-themed bathroom” that are destined to capture fan attention and keep housemates entertained. In a house built for the express purposes of isolating housemates from the outside world, in a space where dates and times are excluded, it’s definitely worth tuning in to see what the housemates reactions will be to a bathroom jam-packed with clocks that don’t tell time!


In addition, the new house is equipped with 24 cameras and 52 microphones to provide audiences with a birds-eye view of the show all day, every day on DStv channel 198.


The Brother Africa team has innovated once more the popular ‘Shower Hour’ will now move from its morning slot to a late-night slot, giving housemates a new twist to life in the BB house!


Also gearing up for the launch is the M-Net website, which last year saw record-breaking traffic as fans of the show voted for evictions, downloaded videos, posted forum messaging and caught up with the latest breaking Big Brother news. The official website of the show is www.mnetafrica.com/bigbrother and it’s here that audiences will once more be able to interact with the series.


Given the popularity of Big Brother, several other official ‘fansites’ have also sprung up and fans who want to visit these can access them through the official Big Brother Africa website at www.mnetafrica.com/bigbrother


In addition to the Big Brother Africa website, fans can also interact with the series by SMS’ing the Big Brother Africa strapline, which is available on screen on DStv channel 198.


For details of SMS numbers to use in each country, for detailed information on the Big Brother Africa housemates and for breaking news from the house, DStv audiences need only press the OK button on their DStv remote to access the series.


This ‘OK’ function, plus the Big Brother Africa website went live at 21:00 CAT on Sunday August 24. Plus every Tuesday to Friday, fans who’ve missed any of the Big Brother Africa action can tune in to M-Net for daily edited highlights shows, along with a Monday night nomination show.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. Mhhhnhu, dada mashallwah, mtoto shavu shavu, acheni muumba aitwe muumba jamani.
    Kila la kheri dada yetu Latoya, utuwakilishe vema wabongo.

    ReplyDelete
  2. NATANGAZA NDOA WAJAMENI

    ReplyDelete
  3. mzuri kama cynthia masasi

    ReplyDelete
  4. Ana sura nzito........

    ReplyDelete
  5. Dada sura imetulia ila angalia big brother usije ukafanya mambo fulani hadharani.
    Wewe uliyesema ana sura nzito wivu wako!

    ReplyDelete
  6. mh mi naona jamani yupo too artificial,hayupo asilia,yupo kama katokea mkoani arusha,moshi,sijampenda hana uzuri wa asili.

    ReplyDelete
  7. Where are the black skinned girls?? Hamna TZ??? angalia kuanzia yule wakwanza no black skinned guys???..... sori nauliza tu.... its not a skin issue....

    ReplyDelete
  8. mimi kwakweli sijaelewa kitu kimoja, nimeona kwenye profile yake kaandika home town MOMBASA. What is this? is she Tanzanian or what?

    ReplyDelete
  9. huyu nae chotara au macho yangu? Inaelekea kigezo cha mbongo kwenda Big brother ni kuwa mixer! Mwisho mwampamba, Bodea (Project Fame), Richie, Huyu pia... Mmh!

    ReplyDelete
  10. Mwaka huu Tanzania tunakazi maana kama yasipo tokea yale ya TATIANA basi itakuwa OFUNEKA maana mzigo huo si mchezoooooooooooo

    ReplyDelete
  11. Mbona Kila Mwaka Tunawakilishwa Na Wagiriki? Watanzania Harisi Tuko Wapi?

    ReplyDelete
  12. Duu!! Latoya uko bomba kinoma, acha washikaji wajigonge kutangaza ndoa!!!! Afu nilipokuona mara ya kwanza nikadhani ni yule dada miss ki&>$***@#%pi aliyezua kasheshe mwaka 2000 katika kinyang'anyiro cha kumsaka miss Pwani, mnafanana sana. Au ndugu??? Manake nilipoiona sura yako, nikasema yule dada kaanza makasheshe yake kwenye vyombo vya habari nini.

    Kila la heri utuwakilishe vema Latoya.

    ReplyDelete
  13. Mh! Bongo wabongo tupo bomba kinoma yaani sisi ni wote ni machotara tu, Mwisho, Richard, Latoya. Hapa kuna kitu kimefichika hebu tuwascrutinize hawa Multichoice. Ila tumezoea kupiga tu wabongo mwaka huu tunapigiwa

    ReplyDelete
  14. Mh! Bongo wabongo tupo bomba kinoma yaani sisi ni wote ni machotara tu, Mwisho, Richard, Latoya. Hapa kuna kitu kimefichika hebu tuwascrutinize hawa Multichoice. Ila tumezoea kupiga tu wabongo mwaka huu tunapigiwa

    ReplyDelete
  15. Zamu yetu sasa kina dada kupata shemeji sio kila mwaka mawifi tu.. SHEMEJIIIII!!!

    ReplyDelete
  16. Huyu dada kweli atatuaibisha maana anavaa Jezi ya taifa stars alafu anakumbatia kumbatia kila mwanaume sasa mh, ngoja tusubiri tuone jinsi jamaa watakavyoanza kumsaula ile jezi na kushika shika chura

    ReplyDelete
  17. wabongo bwana kila mwenye ngozi nyeupe kidogo basi ni chotara.basi kwa taarifa yenu huyo sio chotara bali huo ni MKOROGO 150%.

    ReplyDelete
  18. Dah huyu Latoya ni kicheche nini? mbona yuko allover huyu jama wa Angola? yani jana mbaka demu kahakikisha jamaa ana lala kitandani kwake dah,!

    ReplyDelete
  19. hIVI JAMANI HAYA MNAYOSIMULIANA HUMU YA KUMFUATA MUANGOLA AU KULALA KITANDANI KWAKE KWANI MUNAYAONAGA WAPI?
    mBONA MIMI KWENYE TIVII YANGU SIONI?
    nITYUNI KWENYE MITABENDI NGAPI?

    ReplyDelete
  20. WADAU MNAOLALAMIKA KUHUSU POINT 5 AU CHOTARA KUWA WAWAKILISHI NGOJA NIWAPE SABABU:

    MACHOTARA WAMENYIMWA SURA YA HAYA KABISAAAAAAAA.

    MACHOTARA HAO WAMEISHI KWENYE FAMILIA AMBAZO MAISHA YA BBA WANAENDA KUISHI, (YAANI WANAO UWEZO WA KUTUMIA VIFAA VYOTE KULE NDANI)

    MACHOTARA HAO LUGHA KWAO SIO TATIZO.

    SASA BASI;
    HAKUNA MWAKILISHI BLACK KWA VILE AMBAO WAMENYIMWA HAYA EITHER NI WAVUTA BANGI AU UNGA. PILI HAWANA UZOEFU NA MAVIFAA YA NDANI YA BBA WATATUTIA USHAMBA. PILI WENGI WA WAUSI NI WASOMI HASWA KWENDA KUTOA CHUPI HADHARANI SIO RAHISI.

    NAOMBA MSILALAMIKE WENZETU HAWA WANAKIPAJI CHAO CHA ZIADA NA KAMA WEWE UNACHO BASI UNGEJITOKEZA NADHANI WAHUSIKA WASINGEKUACHA.

    ReplyDelete
  21. let's keep it very real...
    Hizi kasumba zetu za kusema kuwa mtu ambaye ni LIGHT SKIN kuwa si mtanzania halisi ni za kijinga,kipumbavu na kizamani.Tanzania kuna makabila kibao ambayo yana watu wanaofanana na huyu dada.Ukienda Singida,Arusha na kilimanjaro kuna watu wako hivi. Kuna baadhi ya wachagga,wapare,Wa-arusha,Wabelbeigi a.k.a Wairaq wanafanana hivi kama huyu Dada,Je hao si watanzania halisi?Hivi mtu akiwa mixed na kuzaliwa,kukulia Tanzania hana haki ya kuitwa mtanzania?
    Mimi nadhani nyie watu mnaopinga hawa wenzetu(Light skin,machotara)ni sababu mna wivu,mnatamani mngekuwa kama wao.Inaelekea hampendi mwonekano wenu wa Dark skin.Haki ya Mungu nyie watu mna inferiority complex za hali ya juu.Get life,Love yourself.

    ReplyDelete
  22. Naona sasa maisha yamekuwa magumu mpaka chembechembe za ubaguzi zinaanza kuingia kwenye damu zetu taratibu jamani kumbukeni " sote ni ndugu,kutoka kwa baba mmoja" .

    ReplyDelete
  23. kuna mtu hapo juu umesema huyo dem kama vile katokea moshi, arusha au singida. Kwani kuna ubaya gani? Kwa taarifa yako katokea arusha ila asili ni mchagga. We waangalie madem wengi wa kichagga ni kama 0.5. He!! sasa unamind nini? kama ww ni dem ungeenda ww labda ww ni mweusi ungechukuliwa tu wakupeleke tuone kama mavifaa ya mle ndani ungeweza kuyatumia. Hasa jikoni

    ReplyDelete
  24. ...lazima utapata watetezi, Poor Bongo. lakini hata mtoto wa darasa la kwanza atakuwa na busara ya kujiuliza. Kwa nini kila shindano lazima aende CHOTARA?? Hii sio lazima iwe Ubaguzi wa Rangi,Noooo! Just a simple Common Sense Question.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...