Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. haha, nice. Kweli bwana, if a*b=ab then 7*7 should equal 77... no?

    ReplyDelete
  2. Huyu jamaa kakosea 7x7 sio 77
    ila 7+7 ndio 77.

    ReplyDelete
  3. Mdau wa kwanza na wa pili woote wamepatia ukizingatia woote wanatumia kanuni saafi tu za kihesabu.

    Nakumbuka nilifanya hivi hesabu nilivyokuwa la kwanza na naona nilikuwa saafi tuu kwani nilielewa fomula. Elimu ilivozidi kuongezeka nikageuza lakini fomula hiyo ni sahihi kabisa.

    Pia hata katika hesabu za kweli inaweza kukubalika ukizingatia base za kushoto na kulia.

    ReplyDelete
  4. Mimi nilivyofundishwa pale shule ya Msingi Mtakuja ni kwamba 7 X 7 = 7777777. Sina shaka hilo ndilo jibu sahihi

    ReplyDelete
  5. haha, nimeipenda ya jamaa wa mtakuja pia. Cause 7*7 means you have seven 7's. Thus the answer is 7777777 (seven 7's). Haha

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...