mhariri wa habari wa gazeti la habari leo mgaya kingoba (kati) na wadau wa chumba cha habari wakisherehekea hepibesdei ya kuzaliwa kwa bosi huyo leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Vp kaka Michuzi, KWIKWI imeishaaa??

    ReplyDelete
  2. Kaka Michuzi

    Namtakia maisha marefu bwana mgaya, Leo pia ni besiday ya ngosha aka mwanza mwanza aka Fid Q aka fareed kubanda.

    Regards

    Mdau

    ReplyDelete
  3. Happy birthday Kingoba#
    Mzee hujabadilika kabisa, uko vile vile kama ilivokua Bwagamoyo...hahahah

    Paskazi

    ReplyDelete
  4. jamani huyo wa kwanza mwenye shati nyeusi ni halima mlacha?dada anajituma sana jamani Mungu azidi kumbariki daima kama ni yeye.halim a pls tuwasiliane kama ni wewe kwenye emunthali@hotmail.com

    ReplyDelete
  5. Daaaaaaaaaaaaaa nimeitamani FANTA hiyo

    ReplyDelete
  6. basiday ya uzeenimakubwa

    sweet

    Arusha

    ReplyDelete
  7. hongera kingoba, lakini nimefurahi kumuona yule dada wa mwisho mwenye shati nyeusi maulid ahmed, demu bomba yule nilikuwa nampenda miaka mingi lakini nilishindwa kutupa karata yangu nikihofia atanikataa baada ya kusikia ameolewa wakati nilikuwa nataka kutupa karata yangu nikiwa nimeshajiandaa kifedha na maisha mazuri nimeumia sana roho yangu.

    ReplyDelete
  8. heheeee! wewe kaka uliyempenda maulid ungepoteza muda wako huyo alikuwa akimpenda boyfriend wake ambaye sasa mumewe na alikuwa haangalii pesa, hata ungetupa karata usingefanikiwa kwanza huyo jamaa yake hata hana pesa lakini demu anampenda tu

    ReplyDelete
  9. Dada wa pili kulia ni wewe uliyewahi kwa GOORYONG(T) LTD?

    ReplyDelete
  10. jamaa wa maulid ahmed mlevii lakini demu kafika sio kawaida. lakini jamaa baba yake ni fisadi mmoja hivi pesa ipo kwa jamaa. ndio maana demu unajua tena kafika . elemu napesa sasa hivi hazikupatii demu . kama mwanaume baba mama pesa mwanamke anatokomea . mimi nilimpenda mtoto mmoja wa fisadi aliniacha vibaya hewani kwajamaa ambaye hana lolote. watoto wamafisadi wanapata demu yoyote yule tanzania.

    ReplyDelete
  11. jamani mimi nilijua tanzania tambarare mbona mmechoka hivyo alhandullilai. maulid pale tsj ulikuwa bomba imekuwaje jamani . hali ya hewa au michuzi mbona unapendeza kila siku waeleze wenzio wapi viragooooooooooooo daaaaaa

    ReplyDelete
  12. bongo bwana na masiraha(chupa) yenu mnagonganisha kwenye midomo mnaponywea wenyewe mnaona poa tu

    ReplyDelete
  13. Kuna mdau ametaja kampuni moja Gooryang (T) Ltd nina shida kubwa sana ya ya kikazi nataka kufika ofisini kwao kupata taarifa fulani. Waweza kunisaidia ilipo?? Pia Grphtan Ltd. Telephone no je?? NISAIDIENI WADAU!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...