Charles Gadi Promotions & Entertainment
Inawatahadharisha wapenzi wa Bongo Flava Kukaa Mkao wa Kula.
Vunja jungu la Nguvu 29 Aug.2008.
Kwa Mara ya kwanza Inawakutanisha wakali wenyeweMATONYA(Tan.)v/s LOLILO(Burundi).
Venue:Den haag Holland Spoor.
Baada ya hapo kama kawaida 30 Aug, 2008 Beach party na nyama choma Utrecht(Hakuna kulala hapo).
Maelezo zaidi yatapatikana hivi karibuni.
Info.
Tel:031634236408

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...