Kuna matatizo ya kiufundi yamejitokeza kwenye mtandao wa globalpublisherstz.com kuanzia asubuhi ya leo ambayo yamesababisha kutokufunguka kwa mtandao huo na pia web master kushindwa ku fanya up dates za leo.
Tunawaomba radhi wasomaji wetu kwa tatizo hilo ambalo linashughulikiwa ipasavyo na HOST wetu na ameahidi litakwisha baada ya saa kadhaa zijazo.
Kiufundi yalikuwepo mabadilko ya kuhama kutoka server moja kwenda nyingine ambayo yamesababisha hali hii.
Hatua ya kuhama ilikuwa ni muhimu kwa sababu za kiusalama na tunawaahidi kuwa tatizo kama hili halitajirudia siku zijazo.
Asanteni kwa uvumilivu wenu na tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote mtakaoupata.
Asanteni kwa uvumilivu wenu na tunawaomba radhi kwa usumbufu wowote mtakaoupata.
Web Master
Global Publishers Ltd
Dar es salaam
Tanzania
EA.
WEB MASTER hilo tatizo halijatokea leo asubuhi ,ni tangu jana kwani mimi hutembelea site yako kila siku na asubuhi ya hapo home ni mchana hapa ninapoishi, fanya makeke master tunahitaji sana ushirikiano wako.
ReplyDeleteRUDEBWOYFACE!
JAPAN.
tumemiss sana jitahidini jamani!
ReplyDeletematatizo ya kiufundi au hawajalipia hosting charges??
ReplyDeletejamani mbona tunadanganyana vitu viko wazi wabongo lini mtakuwa wakweli? au unataka tu-prove mlikuwa hamjalipia?
Haijalipiwa license mpya kwa vile ile ya zamani imekwisha muda wake tangu saa sita usiku wa tarehe 14August.
ReplyDelete-:) Inabidi nicheke tu maana kuna ukweli I was...na seems...
ReplyDeleteLondoner
kweli watanzania tunatia aibu.unajua unakutana na mtu anavuja damu kichwani lakini anakwambia mimi sina matatizo.
ReplyDeletesasa hawa jamaa wanajitetea matatizo ya kiufundi, wakati majibu yako wazi!semeni tulisahau kulipia.du si mchezo