Rais wa Comoros Mh. Ahmed Abdallah Mohamed Sambi akikagua gadi la heshima baada ya kuwasili bungeni leo
Rais wa Comoros Ahmed Abdallah Mohamed Sambi akiingia katika ukumbi wa bunge Parliament August 25.
Rais wa Comoros Ahmed Abdallah Mohamed Sambi akihutubia bunge leo
Rais wa Comoros Ahmed Abdallah Mohamed Sambi katika picha ya pamoja na wenyeji wake
Rais wa Comoros Ahmed Abdallah Mohamed Sambi katika picha ya pamoja na wenyeji wake. waliosimama nyuma ni mabalozi wa nchi mbalimbali za afrika waliofika kumsikiliza leo bungeni Rais wa Comoros Ahmed Abdallah Mohamed Sambi katika picha ya pamoja na wenyeji wake. Nyuma yao ni wenyeviti wa kamati mbalimbali za bunge
Rais wa Comoros Ahmed Abdallah Mohamed Sambi na wenyeji wake. Kulia chini ni spika wa bunge la Comoros
Rais wa Comoros Ahmed Abdallah Mohamed Sambi akihutubia bunge dodoma leo


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. So I just learnt that Hon. JK will be touring the US soon; I am assuming this follows the invitation that was extended to him by "Joji Kichaka" during the G8 summit.

    Anyway, I am not paranoid, nor do I believe in conspiracy theories, but this US's newfound interest in Tanzania makes me wonder. A few years ago you could argue that even the Secretary of State could not point Tanzania out on the world map; we were virtually non-existent to them.

    With the current energy crisis hitting the world and even becoming a central theme in the ongoing presidential campaign in the US, it makes me concerned that these guys may have ulterior motives (well, they always do).
    We have natural gas from Songosongo and Mnazi Bay; oil exploration is on the way and not forgetting Uranium deposits...

    ReplyDelete
  2. HELO!

    Mzee tu wekee speech ya JK,ilituweze kuisoma, maana link ulizo tupa zinatoa mambo nunusu!

    Tafadhali kama itawezekana.

    Regards;
    MDAU.

    ReplyDelete
  3. Kaka Michu,
    Mimi naulizia haya magwanda wanayovaa askari wetu kama kwenye hilo gadi la heshima mbona naona yanaonekana kama ya karne mbili zilizopita? Hivi mpaka lini askari wetu wataendelea kuvaa magwanda ambayo wakivaa askari wa kikoloni katika karne zilizopita? Hivi hatuwezi kubuni sare mpya zinazokwenda na wakati? Hata hao wakoloni waliotuletea sare kama hizo waliacha zamanai kuvaa magwanda hayo?

    ReplyDelete
  4. Mie sikuwa najua kama Kiongozi Mgeni anaweza kukaribishwa kwenye Bunge la Nchi nyingine, sijui Siasa wala Maambo hayo sana, Basi NIMESHANGAAAA weee.I hope its ok.Kushangaa si imo kidogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...