niko msamvu nikipiga libeneke jioni hii
kazi na dawa na athumani hamisi (kati) na collins mtita msamvu jioni hii
fc bongo mpooooo? huku nyama bwelelele...
injini kiuno sio mbaya kusafiria
nimeondoka dar kukiwa na vijinyunyu. sijui mambo yalikuwaje baadaye. huku dom winta ndio inaishiaishia

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Misupu iko siku masela watabeba hiyo notebook kibaigwa hapo si pa kuchezea inabidi iwe mgongoni kila mara? in insurance hiyo?

    ReplyDelete
  2. We Michuzi we!

    Yaani unakwenda DODOMA kwa BAISKELI! Mweeh!

    Muulize mwenzako PASKO MAYALA atakupa habari.

    Shauri zako.

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi mchokozi..!!

    Finland

    ReplyDelete
  4. We Michuzi, hiyo baiskeli ya wanawake unapeleka wapi?

    ReplyDelete
  5. Haya mzee ila kuwa makini maana hiyo barabara siku hizi inatafuna kweli nyie watu maharufu,sasa mkuu wetu wa wilaya ya nanihiiiii usije kuchachawangwe bureeeeee

    ReplyDelete
  6. naona unatulingishia mlo wa kibongo kwa vile tuko mbali na tunaukumbuka sawa michuzi asante sana!!!

    ReplyDelete
  7. Michuzi,huo mchanganyiko wa mlo wenye mapochopocho mbali mbali kwa mara moja watoto wa mjini wanasema ni "mlo wa draft".Naona wewe unalicheza vizuri mzee.

    ReplyDelete
  8. nyama hizo ma FC BONGO pia haziwatoshi

    ReplyDelete
  9. Michuzi
    Nina pendekezo/ombi.
    Je unaweza ku-upgrade blog yako ili tuwe tunaweza kutafuta kumbukumbu ya matukio ya kila siku kwa kutumia kalenda(tarehe/mwezi/mwaka). Maana baada ya siku tano mtu huwezi kwenda nyuma kutafuta habari unayotaka.
    Hivi sasa nimeshindwa kupata Address ambako Bash la Wash. Dc litakapofanyikia.kuna mshikaji aliniambia nije hapa kupata info.

    ReplyDelete
  10. Aiseee hapo si makuti msamvu! Hapajabadilika naona!

    ReplyDelete
  11. Michuzi,hivi lunch ya kawaida hapo Moro ni bei gani(Say wali,kuku mzima na mboga za majani,matunda n.)
    Tanzania tuna bahati bei za vyakula, ziko chini(No question abaout that).Wale wanablog wanaosafirisafiri huko nje ya nchi yetu tuipendayo ya Tanzania wanaweza kuwa mashahidi wazuri.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...