Home
Unlabelled
karibu globu mpya ya michezo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
i have got new blog....hichi ni kiingereza cha buguruni uswahilini. kwani lazima uandike kwa kiingereza? ungetumia kiswahili tu tungeelewa!!!
ReplyDeleteMbona hakuna linki ya hiyo blogi?, itakuwa na maana kweli kama ushamba wenyewe ndio kama huu, unatangazia blogi huweki linki?
ReplyDeleteAnony, August 25, 2008 unasema
ReplyDeleteI HAVE GOT NEW BLOG ni kiingereza cha Buguruni!!! acha kuchekesha, wewe umejifunzia wapi Kiingireza chako mpaka useme hiki ni cha Buguruni!! nakushangaa! hiki ni perfet English no ubishi about that, ask even English language professors they will say so too.
Kuhusu blog, watu wengine hawana bahati ya MICHUZI, MICHUZI si blog tu ni kwamba jina lake kubwa ndio maana blog yake inapata big hits everyday, anajulikana toka zamani kwa umahili wake wa kupiga picha toka zamani hata kabla ya huu utitili wa magazeti yaliyojazana siku hizi mitaanI, nimekuwa nikimesema hili kila mara hata jana tu nimelieleza hili kwani hakuna mtu asiyemjuwa MICHUZI ni mtu wa watu, mchangamfu, anajichangaya na ana right personality kwenye industry hii, nakumbuke wakati tuko shule watu walikuwa wakinunua magazeti enzi zile kitu cha kwanza tulikuwa tunakimbilia kuangali Michuzi kaleta picha gani leo and then tunasoma the rest. Hivyo sifa na mafanikio aliyoyapata Michuzi na blog yake in terms of having WADAU wengi si rahisi mtu mwingine aka-match/emulate.
E.A.M.
What about "I have a new blog"? Or "I got a new blog" sema kuchanganya "I {have} {got } a new blog" kusema kweli english nilifeli lakini sidhani kama "I have got a new blog" sahihi zaidi ya zile mbili juu nilizotolea mfano.
ReplyDeleteNaona ni blogspot na sio blogspoti kama alivyoandika
ReplyDelete