Home
Unlabelled
safarini kuelekea dodoma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Misupu iko siku masela watabeba hiyo notebook kibaigwa hapo si pa kuchezea inabidi iwe mgongoni kila mara? in insurance hiyo?
ReplyDeleteWe Michuzi we!
ReplyDeleteYaani unakwenda DODOMA kwa BAISKELI! Mweeh!
Muulize mwenzako PASKO MAYALA atakupa habari.
Shauri zako.
Kaka Michuzi mchokozi..!!
ReplyDeleteFinland
We Michuzi, hiyo baiskeli ya wanawake unapeleka wapi?
ReplyDeleteHaya mzee ila kuwa makini maana hiyo barabara siku hizi inatafuna kweli nyie watu maharufu,sasa mkuu wetu wa wilaya ya nanihiiiii usije kuchachawangwe bureeeeee
ReplyDeletenaona unatulingishia mlo wa kibongo kwa vile tuko mbali na tunaukumbuka sawa michuzi asante sana!!!
ReplyDeleteMichuzi,huo mchanganyiko wa mlo wenye mapochopocho mbali mbali kwa mara moja watoto wa mjini wanasema ni "mlo wa draft".Naona wewe unalicheza vizuri mzee.
ReplyDeletenyama hizo ma FC BONGO pia haziwatoshi
ReplyDeleteMichuzi
ReplyDeleteNina pendekezo/ombi.
Je unaweza ku-upgrade blog yako ili tuwe tunaweza kutafuta kumbukumbu ya matukio ya kila siku kwa kutumia kalenda(tarehe/mwezi/mwaka). Maana baada ya siku tano mtu huwezi kwenda nyuma kutafuta habari unayotaka.
Hivi sasa nimeshindwa kupata Address ambako Bash la Wash. Dc litakapofanyikia.kuna mshikaji aliniambia nije hapa kupata info.
Aiseee hapo si makuti msamvu! Hapajabadilika naona!
ReplyDeleteMichuzi,hivi lunch ya kawaida hapo Moro ni bei gani(Say wali,kuku mzima na mboga za majani,matunda n.)
ReplyDeleteTanzania tuna bahati bei za vyakula, ziko chini(No question abaout that).Wale wanablog wanaosafirisafiri huko nje ya nchi yetu tuipendayo ya Tanzania wanaweza kuwa mashahidi wazuri.