Haya Kaka,
japo zako zimeniacha hoi, lakini nami nikuoneshe hizi nilizotungua a while ago nilipoanza kujishikisha Canon yangu.
Ni machweo niloyanyaka kule Betsville MD. Ila nilikimbia jua kiaina.
Salamu zao Chinyoya, Kibaigwa, Mnadani + Nkuhungu. Lol.
Thanx for your help Brother.
Blessings
Thanx for your help Brother.
Blessings
Mdau Ughaibuni
-------------------------------------------------------
Mdau Ughaibuni,
asante kwa majibu ya snepu la nguvu. Sijaona tatizo kwani kwenye upigaji picha kila mpigaji ana jicho lake na tafsiri yake. Hizo zangu zinaweza kuwa mbaya kwa wengine na za kwako zikanyakua zawadi. Japo unadai ulikwepa jua lakini kwangu mie kwenye kioo cha kompyuta yangu imetoka chicha kinoma, haina kishawishi (distraction) ambapo kwangu ni hilo jua. Hahahaa.
Nakaribisha picha na majadiliano ya picha kwenye globu hii ya jamii kwa wadau wote mlio wabovu wa masnepu kama sie
Michuzi
kaka hayo maeneo unayoyataja mwishoni ni ya dodoma kaka,du!! umenikumbusha mbali sana.
ReplyDeleteumesahau maeneo ya kizota,kikuyu,hazina,majengo,makole duuuu na vyeyula.
duuu siku nyingi sana
ebwan wadau wa dodoma tuwasiliane kwa titusboniface@yahoo.com
michuzi,i can't hold up any more,speaking of your landscape photos ,men.. they re way over the top ! iam completely blown away! dynamite!
ReplyDeletekwa kweli picha hizo ni za kitaalamu muno! i have seen tons of work from many great photgraphy icons and i must admit your work couldn't be compared!
kitu kimoja nikuulize sijui kama umeshawahi kusikia kitu kinaitwa 3d textures? basi hizo ni picha eidha za landscapes au ojects surfaces nk siwezi kutaja vyoote hapa picha hizo hutumiwa na 3d animation artist nikiwapo mimi mwenyewe kwenye fied hiyo na nyingi ya hizo huwa zinauzwa na ktk uuzaji wa picha hizo sijaona textures za tropic countries
jaribu tafuta ktk google uangalie soko la textures wazungu wengi wapiga picha wanshiba kwa hiyo kazi na wakati mwingine wakijua kwamba wewe umespecialise kwa textures za tropic coutries basi wankupa custom order
kaka michuzi you could be working from home na kutengeneza dollar
kama unafahamu basi ignore hii messege yangu
raceznobar
dodoma mambo ni mswano....mnadani raha tupu,...jamani "one way" mnaikumbuka lakini?
ReplyDeletemdau USA
jamani nime up grade toka n95 8gb. to canon 450d nimechemsha?niko happy na speed ila siwezi vuta ngoma kama navotaka!! ni nunue lens ya aina gani? huwa napenda kupiga picha za michezo. na mie si mwandishi hivo najikuta jukwaani mbali na wacheza. naombeni ushauri wa kitaalam but muu weke in way kihiyo wa picha kama mimi ntaelewa
ReplyDelete