
Makala maalumu ni mahojiano yetu na Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Makosa ya Jinai nchini Kamishna Manumba kuhusu matumizi ya simu za mkononi kufanya uhalifu hasa ule wa kutoa vitisho mbalimbali kwa watu na viongozi. Soma Cheche hapa:
cha-cheche/view-category.php
Na ukipenda kupata nakala yako mapema siku ya Jumanne au ukitaka kuwa msambazaji kwa kugawa kijarida hiki kwa kutoa nakala chache tuandikie mhariri@klhnews.com
Idi Njemaa!!
Mhariri Mkuu,
Waandishi na Waunga Mkono wa KLHN na Cheche!
sasa hicho kijarida mbuzi kiko wapi na nyie ah?
ReplyDeleteNIMEFURAHI KUONA HUYU MWANAKIJIJI AMEANZA KUBADILIKA NA KUACHA KUANDIKA HABARI ZAKE ZENYE KUCHOCHEA UDINI NA KUENEZA ITIKADI ZAKE SIASA.SOMETIMES ALIKUA AKIANDIKA HABARI BILA KUZICHAMBUA NA KUZIJUA KWA KINA NAMAANISHA VIVIDE EXEMPLE,ALIKUA AKIZUNGUKA NA BLABLA NYINGI NAKUWAONGOPEA WASIOKUA NA ELIMU NALO NAKUWASHAWISHI WAAMINI NDIO HUO UKWELI,NA UKWELI KWAMBA UKIWA SHALOW UTAMUAMINI NA BLABLA ZAKE.
ReplyDeleteBUT NAFURAHI SASAHIVI KUONA ANATUMIA WINO WAKE VIZURI NAKUTUUNGANISHA NA KUACHA ITIKADI AU USHABIKI NAKUTUUNGANISHA WATANZANIA NA KUDISKASI MADA MUHIMU KAMA KUPIGA VITA UFISADI AMBAO UMETUACHA WATANZANIA TULIOWENGI MASKINI KAMA SIO SISI BASI NI NDUGU ZETU NCHI ILIYOJAA UTAJILI WAKILA AINA BUT NIMASKINI WAKUTUPWA.
HII ITATUSAIDIA KUJENGA TAIFA LETU USALAMA WAKE NA UPENDO NA MSHIKAMANO KWA WATANZANIA WOTE.
BRO.MICHUZI USINIBANIE MAONI YANGU