Home
Unlabelled
swala ya idd leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
inaelekea viewer wako ni waslam nini maana unavyoweka hizo picha cristmas mbona huweka . please fair and balance
ReplyDeleteHivi hawa!
ReplyDeleteYaani bila kutofautina na wenzao yaani hawasikii raha kabisa!?!
Khaa!!
mwezi wameona? hilo ndio swali la mwenyezimungu sababu tanzania ni sehemu mwezi unaonekana. sio nchi zile za baridi na mawingu. ISSA MICHUZI Jamaa safu ya pili nyuma ya WAToTO si ZE FULANAZ IZ KUONEKANA ZE MNAZI ONE FUlanaaaaaaaaaaaz! hahahahah. jamani hata Eid basi mrudishieni Fulana Michuzi aipige Eid. from Zaramo.
ReplyDeleteUhuru wa kweli umeanza kuonekana. Nakumbuka wakati dhehebu hili linaanza kuswali idi yao kabla ya tangazo la bakwata, walikuwa wakipigwa virungu na FFU. Na hilo lilikuwa kosa kwa nchi ya kisekula kama tz na kinyume na katiba inayotoa uhuru wa kuabudu. Serikali haitakiwi haitakiwi kujali kama watu wanasali au laa.
ReplyDeleteNchi hii hatuchanganyi dini na siasa.
nawatakia wadau wote Eid Mubarak!!
ReplyDeleteM.A.S.H.A.L.L.A.H ! ! ! !!!!!
ReplyDeleteWala sio kutofautiana na wenzao au nini, siku hizi watu wanaona live kwenye TV, wanapigiana simu kuwa huku Mombasa/Bujumbura/Kigali/Kampala/Mbale/Dubai tumeona mwezi tunafunga, na siku ya kufungua hivyo hivyo hawasubiri tena ukiritimba wa Bakwata mpaka waamue watu wafunge na kufungua lini. Hebu jiulizeni, mbona idadi ya waislam wanaofunga na kuswali Eid pamoja na waislam wengine duniani inaongezeka, hawasubiri Eid ya Tanzania peke yake siku moja baada ya sehemu nyingi duniani kuswali Eid?
ReplyDeleteAnon wa 30sept 4:34PM acha wivu wewe,michu anaweka kila kitu sawa sawa au wewe mgeni ndani ya hii blog, unaanza sasa unataka kuchafua hali ya hewa,duh!! pole sana kwa kukereketwa.
ReplyDeleteannon wa kwanza grow up! michuzi anaweka kila kitu hapa bila ya ubaguzi na hajapato kupata lawama za kitoto kama zako!
ReplyDeleteoh jambo jengine karibu kwenye blogu ya jamii. inaonyesha dhahiri umgeni hapa. kaa vizuri tunakutayarishia kashata na kahawa!
mimi sio mgeni wa hii blogu those iddi pictures their too much na pia za mipira zimezidi . watanzania hmpendi ukweli
ReplyDeleteFREEDOMOF SPEEACH . NDIO MAANA HAMUENDELEI
ReplyDeleteMuda wa serikali kudhani kuwa bakwata ni kijana wake umeisha, hata kama ilianzishwa na Baba yetu wa taifa. Bakwata haikuwa muhimu kama ulivyo uhuru asili wa kuabudu. FFU walifanya kazi ya kuridhisha bakwata kwa sababu walidhani bakwata ni extension ya serikali.
ReplyDeleteBado uhuru waja, na watu wanvyozidi kuwa huru, huyu bakwata atakosa watu kwani badala ya kuongoza waislamu woote anahangaika na kundi mmoja.
Bakwata kuwa huru, usipige simu FFU kutibuwa sala ya idi usiyoitaka.
we unayelalamikia picha za Iddi na mpira zimiezidi, umeshikiwa bunduki uje kutembea humu? Ni uhuru wako, na kama ukiona hupendelei yaliyopo you are free not to open this page. At the end of the day, huwezi kumridhisha kila mtu.
ReplyDeleteWe jamaa, September 30, 2008 4:34 PM, ugonjwa unaoumwa unaitwa "udini". Mtu yeyote mwenye kaugonjwa haka hulalamika saana kuhusu udini kwa kila jambo. Na hasa huwa hataki usawa, bali watu wa dini nyengine wasipate chochote.
ReplyDelete