Rais wa Zanzibar Mh. Amani Abeid Karume akipata wakati wa futari iliyoandaliwa na benki ya NBC hoteli ya Zanzibar Beach Resort. kulia kwake ni Mkuu wa Hazina wa NBC Lawrence Mafuru.
Rais wa Zanzibar Mh. Amani Abeid Karume akiwa na Meneja Masoko wa NBC William Kallaghe wakiwasili kwenye futari ya NBC hoteli ya Zanzibar Beach Resort

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Kuna wimbo mmoja wa taarabu enzi hizooo jina sikumbuki lakini kibwagizo kilikuwa kinasema " imekuwa ni hila yako kula kwa mkono kwa mkono huwezii kuula kwa mkono huwezi , shurti uletewe kijiko........ " ndivyo anavyotuonyesha Mh. Rais wa Zanzibar . mbona hata Mh. Pinda ala kwa mkono? nadhani hii haijakaa vizuri

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...