Home
Unlabelled
JK akutana na rais wa brazil
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kwa taarifa tuu, kikwete kwa mwaka huu kakutana na viongozi wa dunia mara nyingi kuliko baraza lake la mawaziri. kichwa kinaniuma kufikiria mafanikio ya mikutano hii kwa nchi yetu,but still nasubiri maana may be kuna kitu ambacho kwa akili zangu siwezi kuelewa!!!!!
ReplyDeletepia ningependekeza kwenye hii misafara yake angekuwa anaongozana na kina Matonya ili watu wapate picha nzuri ya nchi yetu sio kushindana kupiga pamba na kina Bush!!!!
Huyo Jamaa anaitwa Lula da Silva sio Lui, ila jamani Kikwete ana kismati cha kupendwa tatizo lake hajui kukaza mkanda na kuwakabili mafisadi akiweza hilo tu hii nchi itakuwa uchumi kwa kiwango cha 10% na zaidi
ReplyDeletetehehe...Kikwete kakutana na marais wa nchi nyingine zaidi ya baraza lake? duh...hii sasa ni noma! Hizo data umetoa wapi mwanangu?
ReplyDeleteNani anasimamia serikali...rais au waziri mkuu wadau?
Huyu anayesimamia day to day dealings za serikali si ndo anatakiwa kukutana na baraza?...au sio?