JK akiwa na Rais Rui da Silva wa Brazil mbaye alifanya naye mazungumzo kwenye hoteli ya intercontinental jijini New York









Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwa taarifa tuu, kikwete kwa mwaka huu kakutana na viongozi wa dunia mara nyingi kuliko baraza lake la mawaziri. kichwa kinaniuma kufikiria mafanikio ya mikutano hii kwa nchi yetu,but still nasubiri maana may be kuna kitu ambacho kwa akili zangu siwezi kuelewa!!!!!
    pia ningependekeza kwenye hii misafara yake angekuwa anaongozana na kina Matonya ili watu wapate picha nzuri ya nchi yetu sio kushindana kupiga pamba na kina Bush!!!!

    ReplyDelete
  2. Huyo Jamaa anaitwa Lula da Silva sio Lui, ila jamani Kikwete ana kismati cha kupendwa tatizo lake hajui kukaza mkanda na kuwakabili mafisadi akiweza hilo tu hii nchi itakuwa uchumi kwa kiwango cha 10% na zaidi

    ReplyDelete
  3. tehehe...Kikwete kakutana na marais wa nchi nyingine zaidi ya baraza lake? duh...hii sasa ni noma! Hizo data umetoa wapi mwanangu?
    Nani anasimamia serikali...rais au waziri mkuu wadau?
    Huyu anayesimamia day to day dealings za serikali si ndo anatakiwa kukutana na baraza?...au sio?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...