JK akimkaribisha kwa mazungumzo Rais Paul Kagame wa Rwanda hotelini jijini New York kwake leo
JK katika mazungumzo na Rais wa Burkina Fasso, Blaisse Compaore
JK akisalimiana na aliyekuwa mayor wa harlem ambaye alijitambulisha kuwa yeye alikuwa rafiki mkubwa wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
JK akimkaribisha waziri mkuu wa Denmark (samahani, sio Norway) Mh. Anders Fogh Rasmussen
JK akifanya mazungumzo na profesa Michael Kazatchkine, mkurugenzi mtendaji wa global fund, mfuko unaoshughulikia masuala ya ukimwi, kifua kikuu na malaria. pich zote na mdau John Lukuwi wa Maelezo

Kaka Michuzi hapa naona umekosea kidogo huyo hapo juu ni Waziri Mkuu wa Denmark siyo Norway.
ReplyDeleteshukrani za dhati kwa Bw.Lukuwi idara ya Habari Maelezo kwa update.
ReplyDeleteMmh sasa mbona tunadanganyana...MAYOR WA HARLEM???? e bwana mbona hivyo wewe
ReplyDeleteNa yeye anafanya speed dating kama Sarah Palin? Tulionyeshwa picha tu hihi hihi bila sauti....Tuambie basi wanaongea nini?
ReplyDelete