Home
Unlabelled
JK alipokuwa manyara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Rais tunae. Lakini mizunguko imezidi, saa ngapi unakaa ofisini kwako
ReplyDeleteJamani IKULU hakuna GYM!? Mbona Mr President kitumbo kinakua siku hizi?? Kwa afya yake na taifa kwa ujumla naamuru GYM na trainer vipelekwe ASAP!
ReplyDeleteEehh kweli BABA hapa umenenepa kidogo khaa !! wenzio wote wakikalia kiti hicho wanabadilisha mikanda ya SURUALI, nikasema BABA YETU VIPI??? Afya haina TBS???
ReplyDeleteatleast sasa.....na hiyo Crown ya balaaa kama......kweli umependeza BABA.... Ila usizidishe MENU utachukiza.... ushauri wa bureee bila VAT......Kaza BUTI baba una damu ya kupendwa.
Stockholm.
Nilidhani nimekiona kifridge cha JK mwenyewe, Jamani afya ya JK ni muhimu kwa nchi ajaribu kufanya mazoezi
ReplyDeletelakini msisahau kuwa hapa nyumbani kitambi ni ufahari...hakuna cha jym wala nini.
ReplyDeletedu huyu mzee hafungi nini mbona fridge halipungii na tunajua funga ni dawa sasa yeye badala ya kupungua anazidi kuongezeka ama kweli cheo ni kitamu.any way JK kaza buti na usikilize maoni ya wapinzani weka mbele maoni ya watanzania sio usikilize hao wanafiki wa chama chako mtasababisha madhara kama ya majirani zetu kenya tena huko itakuwa mbaya zaidi.
ReplyDeleteramadhan karim
kalamuzz za nini jk... au una sign mmasai apewe ng'ombe hamsini?
ReplyDeleteKaka!Brother J.K !jaribu kurudia rudia Joging! tunajua una kazi nyingi! bize(busy) haziishi tafuta mda wako japo dakika 45 kwa wiki !joging ni muhimu sana,vinginevyo utazeeka mapema!pia mazoezi ya mwili ni jambo bora sana kwa afya yako! hata stress za kikazi zitakupungua
ReplyDelete