nimetoka kidogo kwa kajivekesheni ka siku mbili hapa nanihii. nikirejea naomba fulazzzzz niikute hivyo, ohoooo! ntashusha mtu nanihii wallahi tena....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Kaka Michu, hao walio "azima" fulanazzz dawa ya ndogo, wewe nakushauri uwasomee sura halal-badr. Ukifanya hivyo, nina uhakika ukitoka vekesheni utaikuta imerudishwa kabatini kwako!

    ReplyDelete
  2. Hapana, hiyo fulana mpya haivutii kama ile iliyoibiwa, au geresha ulikuwa unataka kubadili style kabla hujaenda kwa wakwe? wasalimie wakwe na mai wife.

    ReplyDelete
  3. MISUPU KWELI UNAWAPENDA WAJERUMANI

    ReplyDelete
  4. du ze fulana hiyo ndio imechukua chance ya the fulanaz ilioibiwa ?pole sana.

    ReplyDelete
  5. wewe anon wa mwanzo umeona wapi au umesikia wapi kuwepo kwa sura halal-badr? ukitaka kusema jambo kwanza pata ukweli wake wote!

    ReplyDelete
  6. Kila sehemu wewe tu tuajiri basi na sisi jamani mithupu

    ReplyDelete
  7. huyu fisadi anakula raha sana na sasa ni balozi ndio kabisa tutamkoma mbona tabu hii huko south nini ehee tena nimesahau kaka mimi kukuuliza Jamani hivi Kaka Athuman anaendeleaje na mipango ya kutibiwa

    ReplyDelete
  8. bro, itabidi ufungue tawi la blog yetu hamburg.

    ReplyDelete
  9. kaka michuzi huko uliko unaweza pata fulanazzz kama ile wasamehe kaka mungu atakulipia. vekesheni njema tutakumiso

    ReplyDelete
  10. utaikuta tuuu mpenzi usijali!!!ze fulanazzzz,,ze michu.
    tatizo lako unasafir-safiri saaaana huagi wala hutulii home,,,so nikaamua kuificha nione,,

    ReplyDelete
  11. Ila best kweli unatembea kaka!! ushatoka tena!?? kila la kheri.

    ReplyDelete
  12. hahahaaaaa !!! nimefungua Blog tu.. nakutana na T-shirt mpya nimecheka sana....kaka kweli huchelewi, naona KARUMANZIRA wako alikwambia vazi ni T-shirt tuuu!!
    Poa tu lakini MVUTO -0%


    Mdau,
    Stockoholm.

    ReplyDelete
  13. Naona umefika tena Ujerumani. Kwa sabbau uliponunua ze fulana ya first uliendanayo Ujerumani na sasa hiyo the fulanaz mpya unaenda nayo Ujeremani sijui kama ukirudi bongo itapona tena. Naomba uiwekee alarm security kwa manufaa yako kwanza. Aza wwaiz jamaa watainyakua tena. Huko Ujeremani waenda fanya nini say hi kwa Abuu Liongo

    ReplyDelete
  14. Hakuna surat Halal Badr, lakini kuna msemo maarufu watu wengi huutumia ikiwa umewakera sana sana, wasema nitakusomea halal badr,in reference to the battle of Badr which was fought on the 17th of Ramadhan 2 AH, it was a major milestone in Islam.Ramadhan ni muda wa kupendana na kuombeana dua hasa sasa tumo kwenye siku za laylat lkadri
    Wakatabahu

    ReplyDelete
  15. Halafu kwanyuma ndio tunaona kwamba wajerumani benzi ndio wanatumia kama taxi

    ReplyDelete
  16. KAKA MICHU HIVYO VIJISENTI VYA NANII SI UVIRUDISHE BANK ZA BONGO TU ILI VIKUPUNGUZIE VIVEKESHENI KILA MARA, VP PASI YAKO BADO HAIJAZUILIWA AU WAMEKUSAHAU?

    ReplyDelete
  17. ama kweli wezetu mabenzi wanafanya tax. sie ndie mtoko wa harusi.

    ReplyDelete
  18. katika maswala ya kusafiri there is no difference between you and President JK.
    Enjoy Kaka Michu

    ReplyDelete
  19. UKO VOCATION AU UNATOKA NEW YORK NA WASHINGTON DC KUPIGA PICHA ZA KIKWETE HAPO UNAFANYA TRANSIT TO TANZANIA BABU!! I MEAN YOU ARE ON TRANSIT TO TANZANIA.

    ReplyDelete
  20. heeeee yan izo kumbe ni TAX???yan hii kufuru yan benz taxi ujeremani? duh sie uku gari la anasa ukikutwa nayo lzm uambiwe ume-EPALISM tu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...