Home
Unlabelled
kajivekesheni ka muda
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kaka Michu, hao walio "azima" fulanazzz dawa ya ndogo, wewe nakushauri uwasomee sura halal-badr. Ukifanya hivyo, nina uhakika ukitoka vekesheni utaikuta imerudishwa kabatini kwako!
ReplyDeleteHapana, hiyo fulana mpya haivutii kama ile iliyoibiwa, au geresha ulikuwa unataka kubadili style kabla hujaenda kwa wakwe? wasalimie wakwe na mai wife.
ReplyDeleteMISUPU KWELI UNAWAPENDA WAJERUMANI
ReplyDeletedu ze fulana hiyo ndio imechukua chance ya the fulanaz ilioibiwa ?pole sana.
ReplyDeletewewe anon wa mwanzo umeona wapi au umesikia wapi kuwepo kwa sura halal-badr? ukitaka kusema jambo kwanza pata ukweli wake wote!
ReplyDeleteKila sehemu wewe tu tuajiri basi na sisi jamani mithupu
ReplyDeletehuyu fisadi anakula raha sana na sasa ni balozi ndio kabisa tutamkoma mbona tabu hii huko south nini ehee tena nimesahau kaka mimi kukuuliza Jamani hivi Kaka Athuman anaendeleaje na mipango ya kutibiwa
ReplyDeletebro, itabidi ufungue tawi la blog yetu hamburg.
ReplyDeletekaka michuzi huko uliko unaweza pata fulanazzz kama ile wasamehe kaka mungu atakulipia. vekesheni njema tutakumiso
ReplyDeleteutaikuta tuuu mpenzi usijali!!!ze fulanazzzz,,ze michu.
ReplyDeletetatizo lako unasafir-safiri saaaana huagi wala hutulii home,,,so nikaamua kuificha nione,,
Ila best kweli unatembea kaka!! ushatoka tena!?? kila la kheri.
ReplyDeletehahahaaaaa !!! nimefungua Blog tu.. nakutana na T-shirt mpya nimecheka sana....kaka kweli huchelewi, naona KARUMANZIRA wako alikwambia vazi ni T-shirt tuuu!!
ReplyDeletePoa tu lakini MVUTO -0%
Mdau,
Stockoholm.
Naona umefika tena Ujerumani. Kwa sabbau uliponunua ze fulana ya first uliendanayo Ujerumani na sasa hiyo the fulanaz mpya unaenda nayo Ujeremani sijui kama ukirudi bongo itapona tena. Naomba uiwekee alarm security kwa manufaa yako kwanza. Aza wwaiz jamaa watainyakua tena. Huko Ujeremani waenda fanya nini say hi kwa Abuu Liongo
ReplyDeleteHakuna surat Halal Badr, lakini kuna msemo maarufu watu wengi huutumia ikiwa umewakera sana sana, wasema nitakusomea halal badr,in reference to the battle of Badr which was fought on the 17th of Ramadhan 2 AH, it was a major milestone in Islam.Ramadhan ni muda wa kupendana na kuombeana dua hasa sasa tumo kwenye siku za laylat lkadri
ReplyDeleteWakatabahu
Halafu kwanyuma ndio tunaona kwamba wajerumani benzi ndio wanatumia kama taxi
ReplyDeleteKAKA MICHU HIVYO VIJISENTI VYA NANII SI UVIRUDISHE BANK ZA BONGO TU ILI VIKUPUNGUZIE VIVEKESHENI KILA MARA, VP PASI YAKO BADO HAIJAZUILIWA AU WAMEKUSAHAU?
ReplyDeleteama kweli wezetu mabenzi wanafanya tax. sie ndie mtoko wa harusi.
ReplyDeletekatika maswala ya kusafiri there is no difference between you and President JK.
ReplyDeleteEnjoy Kaka Michu
UKO VOCATION AU UNATOKA NEW YORK NA WASHINGTON DC KUPIGA PICHA ZA KIKWETE HAPO UNAFANYA TRANSIT TO TANZANIA BABU!! I MEAN YOU ARE ON TRANSIT TO TANZANIA.
ReplyDeleteheeeee yan izo kumbe ni TAX???yan hii kufuru yan benz taxi ujeremani? duh sie uku gari la anasa ukikutwa nayo lzm uambiwe ume-EPALISM tu
ReplyDelete