ny
ny
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kazi kweli kweli!!
ReplyDeleteIla big up kwa upelelezi, noo rushwa kutembea na haki itendeke
Dada Lao
uyo aliyetoa ushahidi atapewa ulinzi au maana Zombe hakuwa peke yake kuna mtu amepotea katika watuhumiwa
ReplyDeletenimependa sana jinsi ulivyoripoti na picha kuelezea every step. Vey nice and keep up the good one. Am very interested in the case so hope to hear more on it. mtuhumiwa kapotea as in alikua arrested akatorokaa au?
ReplyDeletehongera sana bro kwa kutupa vitu live,lakini nchi hii bwana, utashangaa kuona at the end of the day zombe anaachiwa, yani hakuna haki kabisa!!!!
ReplyDeletei thank God the almighht who empower people. imeandikwa ole wake autwaaye uhai wa mwenzake kwa sababu ya kujipatia fedh aau mali au chochote alichonacho mtu.GOD forbid them.
ReplyDeletenatumaini rushwa haitatumika kuwasaidia wauwaji kuonekana kana kwamba hawakuuwa
Tanzania.kama wale wanaotakiwa watutetee ndo wanatumaliza sasa¬ tufanyeje? nina imani rushwa haitatumika and god will forbid those who are conserned with the killing of those innocent people. damu zao zitawalilia daima. imagine watoto na familia za hao marehemu wanavyolia na kuteseka kwa sababu ya zombe na wenzake.tamaa huzaa mauti.kwa macho ya kibinadamu tunaona zombe na wenzake wangali hai lakini wame..... God will forbid them.ooohhh asante kwa picha na maelezo ndugu michuzi,nakufagilia sana kaka
ReplyDeleteNadhani hili jambo la kufanyia kesi ktk Crime scene ni kupoteza Muda na inaonyesha ni jinsi gani Mahakama zilivyo nyuma na karne hii ya Sayansi na Tekelinalokujia.Hivi polisi,waendesha mashtaka(prosecutors),mashuhuda walishindwa kwenda kwenye sinza na kuchukuwa Picha(photo,video) zinazoonyesha hayo yote na kuzifikisha mahakamani kisha kuelezea jinsi mauaji yalivyofanyika?
ReplyDeleteAma kweli wenzetu wanakimbia sisi bado tunatambaa
tunataka si tu haki itendeke bali pia inonekane kutendeka.
ReplyDeleteWOTE WALIOSHIRIKI KWENYE MAUAJI WALIFANYA KITU MBAYA SANA. LAKINI SASA WAKIFUNGWA WATAFAIDIKA VIPI WAFIWA??? WANGEPEWA ADHABU YA KUTUNZA HIZO FAMILIA KUANZIA MALAZI HADI CHAKULA MPAKA MWISHO WA MAISHA YAO
ReplyDeleteKesi Za EPE,RICHMOND,CHIFUPA,BALAL Zingekua Hivi Ingekua Bomba Sana Lakin Du Mazishi Tupu..Job true true
ReplyDeletehii danganya toto,,,kesi itaishia tuu wala tusijue ivokufa,,
ReplyDeletenani afahamu ya KASUSURA??YAKO WAPI
ata hii ya EPA na RICHMOND HAKUNA WA KUMSHTAKI MWEZIE WOOOOOTE WAKO KTK LINE MOJA
jamani