Home
Unlabelled
mdau akiwa neshno ya imarati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
nyie endeleeni kukuza vipaji na kushika #3 katika ligi. Wenzenu tunashinda vikombe tu :-D
ReplyDeleteTupashieni pashieni kiti chetu, baada ya wiki si nyingi tunarudi kileleni.
-Shetani Mwekundu
Chibiriti alianza hivi hivi lakini sasa kafanya jambo la maana kusaidia mayatima.
ReplyDeleteSio hizo picha zako tu ziishie kwenye albamu lakini hukumbuki masikini wenzako wa bongo.
Muosha kinywa nambari one
Hey good looking;
ReplyDeleteI'm happy to see that you enjoy soccer as much as I do :) (not really, najigonga tu). But you sure look nice standing in front of that stadium. Anyways, hivi bwawa la maini maana yake nini?I keep reading it on Michuzi's blog na bado haijaclick.
Hi! Michuzi,
ReplyDeletePole kwa kuibiwa Ze Fulanazz lakini usijali kwani naona watu wanaendeleza libeneke la the FULANAZZZ....
Michuzi Hoyeee na the Fulanazzz....
haha hahaa hahaha tih tih tih,,
ReplyDeleteila jaman izi pic za uropa izi??zinapoteza vijana wetu aya kijana tushakuona,,,sema sasa una jipya la akili kuendeleza nchi yako??au ndo potozzzzz watajuaje??
aisee annon 11.51am umeniacha hoi,,kweli atujapishana yan iyo ze fulanazzzz ze michuzzzz,,,,teh teh,,michu ishakua bendera yetu ngoja siku nami ntakupa my pic na ze fulanazzzzz
bwawa la maini maana yake liverpool....as in liver-pool...sisi washabiki wa chelsea tunawatahadhari msimu huu bao tuuu....kaka martin wakilisha kama kawa.....
ReplyDelete