kumbe mashabiki wa mikonozzzzz wako wengi. asante mdau kwa kutudondoshea snepu hili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. HII MBONA SIYO MPYA...

    ReplyDelete
  2. Hii ni kuonyesha kuwa anawajali watu wake wa nyanja zote....huyu ndo rais bwana. Ila mwanangu kiatu chake ndo kimeaniacha hoi..cheki cha mguu wake wa kushoto

    ReplyDelete
  3. HUYU BWANA KWANZA NILIMUONA AMECHOMEKEA SHATI, SASA MBONA AMELICHOMOA? KULIONI?

    ReplyDelete
  4. Hii picha wana IT wameidokta.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...