Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akifungua Mkutano wa Mawaziri wa Masuala ya Umeme wa Nchi zilizo chini ya Bonde la Mto Nile kwenye hoteli ya Movenpick jijini Dar leo Kulia ni Waziri wa Nishati na Madini na Mbunge wa Sengerema Mh. William Ngereja na katikati ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mh. A. Mwakapugi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...