Habari kaka michuzi!
Hongera sana kwa kazi nzuri ya kuelimisha, kuhabarisha,kuburudisha na kutuunganisha wanajamii kwa kupitia blog hii ya jamii. Zain hawajakosea walipokuteua kuwa balozi wao baada ya kuona mafanikio na kazi yako nzuri unayoifanya.
Mimi naomba msaada wako.Nina marafiki zangu wawili nimepotezana nao toka mwaka1996 wakati tulipomaliza 0-level shule ya sekondari magamba,Wilayani Lushoto hadi leo sifahamu walipo wala sina namba zao.
Napata shida sana ninapokutana na rafiki zangu wengine wanaponiuliza swahiba zako wako wapi,na ninapowajibu sifahamu ,wengi wanashaangaa!Naomba kupitia blog yetu ya jamii nisaidie kupata contact za watu hao ambao ni
1 ALEX VINCENT GONGWE
na
2.ISSA KHATIBU
ahsante sana kwa msaada wako
MDAU MHINA
Email:mhinasapa@yahoo.com
Mob:0713 577219

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...