Kwako Mh. DC na Balozi.Uniwakilishie msaada tutani kwa wadau.Tumepotezana sana na rafiki yetu MARIAM MTUNGUJA. Anaishi marekani kwa sasa.Tungependa kupata mawasiliano naye.
Au kama anatusoma.
Ni mimi
Kessy na Martha
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HII IMEKAA VIBAYA ...KAKA YANGU TRY TO EDIT MAJINA YA WATU...HAYA MAMBO YA KUTAFUTANA NA KUWEKWA MAJINA HUKU WALA SIO MAZURI.
ReplyDeleteKama ni mtu mwenyewe kajiweka humu kweli lakini hawa wanaotafuta wenzao na kuweka majina yao it is not right
MAMBO YA KUTAFUTANA HUKU SIO MAZURI.KAMA NI FRIEND FRIEND KWELI LAZIMA WATAJUA NDUGU ZANGU BONGO NA WAKIULIZA WATAPEWA CONTACT ZANGU. RAFIKI ZANGU WOTE TOKA STD 7 WALIKUA NA WANAJULIKANA NYUMBANI NA WANAJUA NDUGU ZANGU WALIKO.
MIMI SIO HUYU NINAYETAFUTWA HUMU LAKINI NAONA HUU MCHEZO UNAZIDI TU KILA SIKU. MWISHOWE NITAJIKUTA SIKU MOJA NATAFUTWA HUMU.
HONESTY, NI HERI MTU ANAYETAFUTA MARAFIKI ZAKE YEYE AWEKE JINA LAKE LA KWANZA NA LA MWISHO NA CONTACT ZAKE. HALAFU ATAJE RAFIKI YAKE ALISOMA NAYE WAPI. HUYO MTU ATAKUMBUKA LONG TIME RAFIKI WAKE AMWANDIKIE.
NAONA WATU WAPO WEPESI KUTAJA MAJINA YA RAFIKI ZAO HUMU NDANI LA KWANZA NA LA MWISHO LAKINI WAO HAWAWEKI YAO YA MWISHO.....WHY...I THINK YOU KNOW WHY...WAO LOW KEY LAKINI WANAYEMTAFUTA HAWAJALI PRIVACY YAKE
Please take into consideration. kama mtu akikutumia hizi bila yeye kujiweka jina lake la mwisho don't publish that..na pia ukipublish stip jina la anayetafutwa.....akisoma tu bila jina hata jina atakumbuka shoga zake
MIMI SIONI ULICHOKASIRIKA HAPO, NINASHANGAA!!!! LAKINI NDO WATANZANIA WALIVYO, AU VISA IMEISHA UNAOGOPA UTAJULIKALINA NA ESTABLISMENT KUWA UNAKAA HUMO BILA VISA WATAKURUDISHA BONGO!! KWANI JINA NI NINI KWANZA MAJINA YANAFAFA, SASA UMEJUWAJE KUWA NI WEWE NDIYE UNAYETAFUTWA, NAONA HAPO UMEKURUPUKA TU, AU LEO HUJALA, AU MPENZI KAKUUDHI LEO, AU KIBARUA KIMEOTA MBAWA, KWANI KUNA CREDIT CRUNCH WATU WENGI WANAFUTWA KIBARUA SIKU HIZI?
ReplyDeleteHat miminamsaport huyo wa kwanza. Hamana cha visa, credit wala nini. Nje ya nchi privacy life ni muhimu. Kubandikana kwenye mablog bila idhini ya mtu ni mambo ya kishamba.
ReplyDeleteKwani visa ikiisha mtu akitafutwa kenye blog ya Michuzi itamuharibia nini? Umesikia michuzi ni uhamiaji? Acheni ushamba watu wanahitaji privacy zao ndio maana unaona kila anyeandika humu anajifanya anonymous.
Hata mimi rafiki anayenitafuta humu kweli atanikoma. Kuna oldschoolfriend search, classmate, reunion, people seaching to name the few.
Kama mtu anahamu ya marafiki zake nenda humo kajibandike utawapata wengi tu.