PASSAGES OF CULTURE :
CALL FOR PHD APPLICATIONS
TO THE INTERNATIONAL PARTNERSHIP NETWORK ON MEDIA AND MEDIATIONS OFCULTURE IN AFRICAN SOCIETIES
Please send your application by September 30, 2008 as a word orpdf-file by
To discuss your application or any other details please contact
Prof.Liz Gunner at WISER,
email
NANI ANATAKA KWENDA SOUTH AFRICA AMBAKO WATU NI WABAGUZI WA WA-AFRICA WENZAO WALIOWAFADHILI WAKATI WA SHIDA, SASA WAMEPATA UHURU WANAUA WA-AFRICA WENZAO KAMA KUKU. MWAMBIE HATUTAKI AENDE ZAKE HUKO.
ReplyDeleteProfesa Liz Gunner ni mtaalam anayetambuliwa na kuheshimiwa duniani kote katika masomo ya fasihi na fasihi simulizi za Afrika na somo la utamaduni wa Afrika kwa ujumla. Amefanya utafiti kwa miaka mingi na amechapisha makala nyingi na vitabu muhimu sana. Kwa miaka alikuwa katika Chuo Kikuu cha London, upande wa masomo ya Asia na Afrika (School of Oriental and African Studies). Ushauri wangu, nikiwa ni mtafiti na mwalimu katika masomo hayo, ni kuwa fursa hii iliyotangazwa ni muhimu na ya pekee kwa yeyote anayetaka kujielimisha kwa kiwango cha juu katika masomo hayo. Imebidi niseme hayo kutokana na ufahamu wa miaka mingi wa kazi za Profesa Gunner, kwa manufaa ya wadau wa blogu hii.
ReplyDelete