Ndugu, Jamaa na Marafiki,
Tunapenda kuwakaribisha kwenye semina ya neno la Mungu itakayohudumiwa na watumishi wa Mungu CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE toka Tanzania.
Semina hii ya kipekee na yenye ujumbe maalum kwa kila mtu itafanyika Dallas,Texas USA September 12 hadi 14 2008.

Mungu amekuwa akiwatumia hawa watumishi ndani na nje ya nchi kwa Upako na wengi wamefunguliwa,kuponywa na kutiwa moyo kupitia huduma hii.
Unaweza kujionea yale Mungu anayotenda kwenye mtandao huu
Maelekezo zaidi kuhusiana na sehemu itakapofanyika pamoja na utaratibu mzima vitafuata.
Tafadhali mtaarifu mwingine juu ya Semina ya Baraka.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Ooh my God the good Lord! Si huyu mtumishi wako aje Finland na sisi tupate MANA!!!

    ReplyDelete
  2. Bwana na ambariki sana uyu mtumishi,,,kweli kazi yake ni njema sana
    afikie nchi nyingi zaidi litimie Andiko

    ReplyDelete
  3. Mungu awawezeshe mliopo karibu na eneo husika msikose Semina hiyo muhimu. mdau Holland

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...