Ndugu, Jamaa na Marafiki,Tunapenda kuwakaribisha kwenye semina ya neno la Mungu itakayohudumiwa na watumishi wa Mungu CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE toka Tanzania.
Semina hii ya kipekee na yenye ujumbe maalum kwa kila mtu itafanyika Dallas,Texas USA September 12 hadi 14 2008.
Mungu amekuwa akiwatumia hawa watumishi ndani na nje ya nchi kwa Upako na wengi wamefunguliwa,kuponywa na kutiwa moyo kupitia huduma hii.
Unaweza kujionea yale Mungu anayotenda kwenye mtandao huu
Maelekezo zaidi kuhusiana na sehemu itakapofanyika pamoja na utaratibu mzima vitafuata.
Tafadhali mtaarifu mwingine juu ya Semina ya Baraka.
Tafadhali mtaarifu mwingine juu ya Semina ya Baraka.


Ooh my God the good Lord! Si huyu mtumishi wako aje Finland na sisi tupate MANA!!!
ReplyDeleteBwana na ambariki sana uyu mtumishi,,,kweli kazi yake ni njema sana
ReplyDeleteafikie nchi nyingi zaidi litimie Andiko
Mungu awawezeshe mliopo karibu na eneo husika msikose Semina hiyo muhimu. mdau Holland
ReplyDelete