mkuu wa programu ya kuchunguza na kuzuia matende duniani dk. mwele malecela akimtambulisha taitana durao wa angola kuwa ndiye balozi wa heshima wa taasisi hiyo jijina dar. tatiana ni mshiriki wa big brother africa II ambapo mwaka jana aliibuka mshindi wa pili nyuma ya richard. wengi walikuwa wakijiuliza kafuata nini bongo walipomuona na latoya hapa dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mmmmh Michuzi umechemsha!!
    Tatiana alikuwa wa tatu na si wa pili. Wapili alikuwa yule mnigeria, Ofuneka
    Dada Lao

    ReplyDelete
  2. i am so proud of her position tz is now leading the world in various field waoh Thank God

    ReplyDelete
  3. Mbona mabusha yetu hamyatilii umuhimu katika hii kampeni ya matende au mabusha ni aina ya matende, tunaomba ufafanuzi, maana watu wanatukodelea sana macho misuli yetu iliyotuna.
    Mdau
    Chole Samvula.

    ReplyDelete
  4. Huyu bado anamnyemelea Richard au kwao hakuna ajira?

    ReplyDelete
  5. mhhh!! sasa hapo bongo wamekosa kabisa mtu ambaye anaweza kuwa balozi wa matende? au huyo ndiye amechaguliwa kimataifa? tuelimishane zaidi kaka maana wengine tupo nyuma kidogo.

    ReplyDelete
  6. Labda anayo matende ndo maana wakaamua kumtumia yeye kama balozi!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...