Home
Unlabelled
toto africa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
BIG NOOOOOOOOOO! HAPANA Toto Africa aka "wana kisha-mapanda" hawakupanda daraja msimu huu, bali msimu uliopita. ni kati ya timu zenye ufadhili wa kuaminika. (Serengeti Breweries) Rekebisha caption yako. Na kocha wao ameondoka yuko na JKT ruvu ambako ameenda kuchukua nafasi iliyoachwa na Fred Felix Minziro Kataraiya Baba Isaya "Majeshi" ambaye yuko na Moro United ya DSM
ReplyDeleteNawakilisha
Mdau Kiwoso
Michu usifiche ni timu yako PAN AFRIKA
ReplyDeleteTimu zilizopanda ni AZAM FC na VILLA zote za DSM. Toto ipo toka msimu uliopita.
ReplyDeleteHapo mkuu wa wilaya ya nanihii umechemsha saana. Wanitia wasiwasi na ubalozi wako wa Zain. Jitahidi kuywa well informed. Hahahaha
ReplyDeletemichu watumia kinywaji gani asa???
ReplyDeleteafu vekeshen ya idd utakua wapi???