kikosi cha toto africa toka jijini mwanza kikila jalamba neshno ya zamani. hii ni mojawapo ya timu tatu zilizopanda daraja msimu huu, zingine zikiwa azam fc, villa sqaud. zilizoshuka ni ashanti, manyema, coastal union na nanihii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. BIG NOOOOOOOOOO! HAPANA Toto Africa aka "wana kisha-mapanda" hawakupanda daraja msimu huu, bali msimu uliopita. ni kati ya timu zenye ufadhili wa kuaminika. (Serengeti Breweries) Rekebisha caption yako. Na kocha wao ameondoka yuko na JKT ruvu ambako ameenda kuchukua nafasi iliyoachwa na Fred Felix Minziro Kataraiya Baba Isaya "Majeshi" ambaye yuko na Moro United ya DSM

    Nawakilisha

    Mdau Kiwoso

    ReplyDelete
  2. Michu usifiche ni timu yako PAN AFRIKA

    ReplyDelete
  3. Timu zilizopanda ni AZAM FC na VILLA zote za DSM. Toto ipo toka msimu uliopita.

    ReplyDelete
  4. Hapo mkuu wa wilaya ya nanihii umechemsha saana. Wanitia wasiwasi na ubalozi wako wa Zain. Jitahidi kuywa well informed. Hahahaha

    ReplyDelete
  5. michu watumia kinywaji gani asa???
    afu vekeshen ya idd utakua wapi???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...