Home
Unlabelled
wmkumbuka willy gamba?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nakumbuka vitabu vya Willy Gamba, Hivi kile kitabu kamlete akibisha mlipue na msake mapaka umpate pia ni cha kwake au nachanga vitabu.
ReplyDeleteUmenikumbusha mbali sana, nakumbuka ile issue wanafanya upelelezi Nairobi na kina Sammy, Linna, kisha wanakutana na Lulu kutoka Uganda wanafanikiwa kuwapata kina Dk Njoroge, sijui ile ni Kufa na Kupona, au Njama, au Kikosi cha Kisasi...nisaidieni jamani vitabu hivi ntavipata wapi? zamani watunzi wa vitabu walikuwa wengi na vitabu vingi vizuri, kina Musiba, Sitambuli, Hammie Rajab n.k sijui siku hizi....
ReplyDeletedah, umenikumbusha mbali saaaaaana, wakti huo ukianza hadithi za Willy Gamba hulali hadi asubuhi manake huo utamu unatak tu uendelee, jamani viko wapi tena??
ReplyDeleteWadau tusaidianeni vilipo vilikua saafi saaana hasa kuwasaida watoto wa shule kujifunza na kufanya mazoezi ya kusoma vitabu kwa haraka, vilikua vinasaidia saaaaaana...aaahhh..mnakumbuka kazi na dawa????
Kaka Michuzi,naomba kusaidiwa ni wapi naweza kupata vitabu vya Willy Gamba na Joram Kiango.Nimejaribu kutafuta bila mafanikio.
ReplyDeleteNatanguliza shukrani.
Kuna kitabu kipya cha Musiba kinaitwa UCHU....Anazungumzia mauaji ya Rwanda, na ambavyo Willy Gamba alitumwa kwenda kufanya upelelezi wa kiini cha RWANDA GENOCIDE...Very interetsting, kitafuteni mkisome!
ReplyDelete