wachezaji wa Bongo united wakiisherekea ushindi,mwaka jana walipoibamiza houston nyumbani kwao 7-2 na kunyakua kombe.Bongo united ijumaa hii itaelekea Atlanta kwa mpambano na Tanzanite Fc

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. heeeeeee,,,nyie ni madenti,staff,business pple au wazamiaji???

    ReplyDelete
  2. Huyu anaye sema siju Madenti na ujinga gani ni ana wivu tuu.

    Jamani huyu kijana alievua shati mbona mtamu sana? wow, jamani naomba jina lake , ana body zuri sana na anasura handsome sana .

    jamani na huyo sio Said? jamani nammind sana Said , kijana mashalah , Said I love u!

    ReplyDelete
  3. COMMENTS ZA WAPEMBA UTAZIJUA TU.

    ReplyDelete
  4. job true true..teh teh

    ReplyDelete
  5. those are some yummy men kwakweli...i think i need to head to the south..lol

    ReplyDelete
  6. HUYO NI ABUU KIJANA TOKA "WETE PEMBA" WACHA MUCHEZO.

    ReplyDelete
  7. huyo shirtless ni nani me4unme@lycos.com...naomba contact zake.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...