ndiyo globu ya mdau madaraka godfrey nyerere (pichani chini) inayoendeleza libeneke la mambo yanayojiri butiama na ulimwenguni kote.
na vile vile ana tovuti maalumu ya kusaidia kuchangisha pesa kwa shughuli za kijamii vijijini
sio vibaya kama wadau tukimpa taffu katika hilo
mdau nambari wani wa butiama madaraka godfrey nyerere


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Blog bomba sana hii, najuta kwa nini siku ijua siku nyingi zilizopita. Hongera Magaraka kazi nzuri. Keep it up

    ReplyDelete
  2. A nice blog indeed. He has writing humor. Well done Madaraka.

    ReplyDelete
  3. Ni mtoto wa.....

    ReplyDelete
  4. Mdau,

    Asante sana.

    Madaraka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...